MSAADA: Wapi nitapata mizani ya kidigitali kwaajili ya kupimia mazao mpaka kilo 150?

MSAADA: Wapi nitapata mizani ya kidigitali kwaajili ya kupimia mazao mpaka kilo 150?

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Hellow wapendwa,

Naomba kuuliza wapi nitapata mizani ya kidigital ya kupimia mazao hadi kilo 150?

Inahitajika haraka sana?
 
Upo wapi? Kama dar nenda kkoo. Au mchinga complex jamaa wa Pembejeo wanayo. Bei 150k
 
Back
Top Bottom