Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Unahitajai gunia kiasi gani mkuuKuna sehemu nilipita mkoa wa Mara gunia la debe sita tsh.45, 000. Lakini uzalishaji wao si mkubwa.
Ipo wapi hii BurigeNjoo sehemu moja inaitwa Burige,,,mpunga mwingi,42,000.
Cc Sigara KaliUnahitajai gunia kiasi gani mkuu
Kuna gunia la debe 4 mkuu.? Nielimishe kidogo hapoMaswa - Simiyu, Gunia la debe 4 ni 32000 hapo wilayani, ukiingia vijijini ni pungufu na hapo.
Kuna gunia la debe 4 mkuu.? Nielimishe kidogo hapo
Hapo ndipo utakuja kujua kilimo na umaskini ni damudamu.Maswa - Simiyu, Gunia la debe 4 ni 32000 hapo wilayani, ukiingia vijijini ni pungufu na hapo.
Wapi huko chiefNilipo gunia elfu 28 so sad sio kanda ya ziwa
Tatizo hapo ulininua mpunga mbichi, siku nyingine hakikisha unanunua mpunga uliokauka vizuri.Duh.... Ila biashara ya kununua mpunga ni kujivika vesti ya mabomu.
Nakumbuka nilikwenda kununua magunia ya mpunga 22 mwezi wa pili, ile kwenda kuyaanika yakapungua na kuwa 18,kuja kuyakoboa duuuh nusu ya mzigo ukawa ni hasara...... Yaaani pumba ni nyingi, chenga ni nyingi mchele ukakatika katika ikawa ni hasara bini sifuri..... Nikakoma.....
Gunia la mpunga lipo la debe 10 wanaita shanga 2 na la debe 7 ambayo likijazwa vizuri inaingia debe 8. Mchele ndio kuna debe 6. Kwa uzoefu wangu mbeya na nyanda za juu kusini kote.Gunia la mpunga yapo ya aina 2, la Kwanza Ni Gunia lenye ujazo wa debe nne na Gunia la pili Ni Gunia lenye debe 6, hivyo unachagua unataka lipi na kwa Kila debe la mpunga linauzwa Tsh 8000
Ukitaka kununua mpunga lazima ujue kwanza nature ya biashara na zao lenyewe, mpunga huwa unaijarbu kabla ya kununua na kama ni mzigo mkubwa unatakiwa upeleke kwenye machine za kisasa za kukobolea mpunga ambayo inatenganisha pumba na chenga yasn inatos GRADE 3. grade 1,2,3 na chenga za kuku a vitunbua.Duh.... Ila biashara ya kununua mpunga ni kujivika vesti ya mabomu.
Nakumbuka nilikwenda kununua magunia ya mpunga 22 mwezi wa pili, ile kwenda kuyaanika yakapungua na kuwa 18,kuja kuyakoboa duuuh nusu ya mzigo ukawa ni hasara......
Yaaani pumba ni nyingi, chenga ni nyingi mchele ukakatika katika ikawa ni hasara bini sifuri..... Nikakoma.....