Msaada washeria ya ARIDHI

Msaada washeria ya ARIDHI

bie2

Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
24
Reaction score
9
Jamani naomba msaada eneo langu linachukuliwa na limekwisha endelezwa nanyang'anywa bila kuusishwa nataka nifungue kesi msaada nisimamie sheria zipi na vifungu vipi?
 
Eneo ni mjini Tim yampira ndo wana ling'ang'ia
 
Hakuna anayeweza kukunyanganya kirahisi hivyo. Kuna tatizo ambalo hutaki kulisema. Haiwezekani timu ya mpira ikaja kiholela hivyo kuchukua sehemu yako, never
 
Ila kweli, jamaa anaficha.
 
Unaombaje msaada kwa maelezo finyu kiasi hicho? sasa tunajuaje **** hao wanaokunyang'anya sio wenye haki ili hali huwezi kufafanua tatizo lilivyo?

Kama una mambo hauko tayari kuyaweka hadharani nadhani ungekimbilia haraka ofisi za Wanasheria badala ya huku JF.
 
Uwanja wangu umepakana na kiwanja cha mpira sasa wamiliki wa uo uwanja wa mpira wanatakakuuza kwa muwekezaji na muwekezaji anataka eneo kubwa kwaiyo wametuingilia hadi wanannchi tulio zunguka eneo la uwanja wanang'ang'ania kua ni eneo lao mbaya zaidi mwenyekiti wa kijiji ana mkono kwenye hiyo timu kwaiyo wanatumia kigezo cha mwenyekiti kua mwanachama wa timu iyo kutukandamiza wananchi nina barua ya sahihi za mtu alie niuzia eneo na sahihi za majirani na balozi ila bahati mbaya wote ni marehemu apo maelezo bado yajajitosheleza mkuu
 
Kama ni eneo lako na una nyaraka zote kuthibitisha hilo, basi unaweza kufungua kesi baraza la ardhi la kata(inategemea na thamani ya hiyo ardhi) au baraza la ardhi na nyumba la wilaya)
 
Back
Top Bottom