Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
Okay poa.... naona tunapoelekea hata vile vyeti vya umiliki hisa vitakuwa almost non existentPamoja sana....robinhood haijafika huku ipo america tu maana hata UK walitaka kulaunch kwaajl ya Europe ila ilishindikana maana kulikua na hitilafu na volatility ya corona ikapelekea mambo yasiende sawa maana platform ilihelemewa na watu walipoteza fursa kwahy scandal zikawa nyng nadhani wanaweza anza kuieneza miaka inayokuja