Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
Sorry mkuu ndo naiona leo.Nacho shauri bwana arien we can open our own group wasap kupeana tips za hapa na pale on stocks market. Kwa wale ambao watakuwa tyr
Idea nzuri sana hii....ila nadhani Telegram ingefaa zaidi ili kuwapa watu amani ya identity zao+group zao zinachukua watu wengi zaidi kuliko WhatsApp.