Okay poa.... naona tunapoelekea hata vile vyeti vya umiliki hisa vitakuwa almost non existentPamoja sana....robinhood haijafika huku ipo america tu maana hata UK walitaka kulaunch kwaajl ya Europe ila ilishindikana maana kulikua na hitilafu na volatility ya corona ikapelekea mambo yasiende sawa maana platform ilihelemewa na watu walipoteza fursa kwahy scandal zikawa nyng nadhani wanaweza anza kuieneza miaka inayokuja
Kabisa yaani....kila kitu kinabadilika tena kwa kasi sanaOkay poa.... naona tunapoelekea hata vile vyeti vya umiliki hisa vitakuwa almost non existent
Shukrani....wakati huo hakukua na option ya broker nikaona isiwe tabu niingie kwa etoro tuDah! Hiyo nuksi mzee... ndo maana najitahidi kutoingia kichwakichwa aisee.
Ila kama umeiwahi NIO pongezi tele mkuu
Safi! A very promising stock hiyo mzee komaa hivyo hivyo...na mimi am on the lookout for my unicorn stock pia 😄Shukran....wakati huo hakukua na option ya broker nikaona isiwe tabu niingie kwa etoro tu
Naongeza position tu kadri inavyozidi kwenda juu yaani....wakati nasubir airbn IPO mwezi huu...ikiwa cheap nachukua zakutosha huku nasikilizia kuongeza position wakitoa next earning reportsSafi! A very promising stock hiyo mzee komaa hivyo hivyo
Safi sana mkuu 👏🏾👏🏾.Naongeza position tu kadri inavyozidi kwenda juu yaani....wakati nasubir airbn IPO mwezi huu...ikiwa cheap nachukua zakutosha huku nasikilizia kuongeza position wakitoa next earning reports
Amiin mkuu....shukranSafi sana mkuu [emoji1490][emoji1490].
Ikawe heri kwako
Sema uzuri wa etoro hawa charge feesYah na pia zina fee maana zinakua considered kama CFD'S ila trading 212 nayo iko poa maana unaweza nunua fractional shares hata unit 0.1 lkn kwa etoro haipo
Withdraw fee ni 5$ na CFD'S au stocks zozote zile nje ya US market au ETF zina fee. Lbda kama una focus na US stocks pekee na sio za sehemu nyngn km UKSema uzuri wa etoro hawa charge fees
Withdraw fee ni 5$ na CFD'S au stocks zozote zile nje ya US market au ETF zina fee. Lbda kama una focus na US stocks pekee na sio za sehemu nyngn km UK
All in all 212 n nzur kwa wenye capital ndogo na kwenye swala LA fees wamejitahid mim niliependa etoro kwasababu INA features nyingi ambzo zinarahisisha trading mfano Ku copy kwa wwngine wanvyo wekeza pamoja na kufanya livechat na professional brokers imenifanya nijifunze mengiWithdraw fee ni 5$ na CFD'S au stocks zozote zile nje ya US market au ETF zina fee. Lbda kama una focus na US stocks pekee na sio za sehemu nyngn km UK
Duuh pole sanaMm sikuyajua aisee ss nakuja kujua nisha deposit na nina stocks kama za NIO ambazo nimetoka nazo mbali nimeona nibaki nayo tu ila nafuatilia km kuna possibìlity yaķuhamisha position zngu kma zilivyo kutoka etoro kwenda trading 212 nifanye hvyo
Ichekì tu kwny review kisha fanya comparisonNdo nacho Fanya sema hiyo 212 sijawah jaribu
Shukrani mkuu[emoji2935]Duuh pole sana
Good idea mkuu[emoji122][emoji122]Nacho shauri bwana arien we can open our own group wasap kupeana tips za hapa na pale on stocks market. Kwa wale ambao watakuwa tyr
Naomba mwongozo ulifanikiwaje kufanya ID verification? Maana nimeweka passport na bank statement lakini wamekataa.Trading 212 minimum ni 1£....mm nina account kote na nime invest kwny platform zote hzo mbili na more reliable ndio hyo trading 212 zaidi kwa wstu wakipato cha chini
Mimi nipo middle east kwass kwahy natumia proof of residency ya huku,maana kuna mtu nilimshauri a register akiwa tz akaaambiwa kuwa hawachukui watu wake ss sijajua imeanza ln hyo situation...ila hyo ni kwa etoro. Japo trading 212 nadhani wanachukua watu wa nchi nyng kasoro americaNaomba mwongozo ulifanikiwaje kufanya ID verification? Maana nimeweka passport na bank statement lakini wamekataa.
Wanataka proof of Address, ambayo address yangu niliyojaza wakati najisajili itandana na document nitazo_upload, sasa issue ni kuwa, address niliyopo sasa nilijaza Dar es Salaam pamoja na mtaa niliopo, ila document zangu kama National ID, TIN, Driving License, na Passport zina address ya kule nilikozipatia (Iringa). so wanakataa.Mimi nipo middle east kwass kwahy natumia proof of residency ya huku,maana kuna mtu nilimshauri a register akiwa tz akaaambiwa kuwa hawachukui watu wake ss sijajua imeanza ln hyo situation...ila hyo ni kwa etoro. Japo trading 212 nadhani wanachukua watu wa nchi nyng kasoro america
Kweli tufungue group tuweze share ujuzi. Ngoja niunde nilete linkNacho shauri bwana arien we can open our own group wasap kupeana tips za hapa na pale on stocks market. Kwa wale ambao watakuwa tyr