Sorry mkuu ndo naiona leo.Nacho shauri bwana arien we can open our own group wasap kupeana tips za hapa na pale on stocks market. Kwa wale ambao watakuwa tyr
Sio kweli ETFs hazina presha kama unavyodhania.Ni dollar, ushauri wangu usiwekeze kwenye EFT has a kwenye hizo international market indices sababu unahitag proffessional knowledge au uwe umesomea kbisa
Return yake lkn sio kubwa kulingana na stocks thats the differenceSio kweli ETFs hazina presha kama unavyodhania.
Tena zipo vizuri zaidi kuliko stocks.
Zinakupa exposure kwenye group of stocks kuliko stock moja unayoimiliki.
Unafuatilia taarifa za NIO?Mm sikuyajua aisee ss nakuja kujua nisha deposit na nina stocks kama za NIO ambazo nimetoka nazo mbali nimeona nibaki nayo tu ila nafuatilia km kuna possibìlity yaķuhamisha position zngu kma zilivyo kutoka etoro kwenda trading 212 nifanye hvyo
Yaah....ila kampuni haiwezi kuwa delisted instantly maana kuna 3 years za ku comply na pia zile fraud aligation za EV company za china naona hazijaigusa NIO maana ipo chini ya serikali japo hzo news zina mu affect kwakua wapo kwny region mojaUnafuatilia taarifa za NIO?
Kuwa nayo makini.
Kuna ETFs kama UCO, USO zimenipa return ya almost 1000% (post covid era). Semiconductors ETFs kama SOXL zimenipa return ya almost 200%. ESG ETFs zimenipa return ya almost 35%.Return yake lkn sio kubwa kulingana na stocks thats the difference
Yeah ni kweli....hongera mkuu.Kuna ETFs kama UCO, USO zimenipa return ya almost 1000% (post covid era). Semiconductors ETFs kama SOXL zimenipa return ya almost 200%. ESG ETFs zimenipa return ya almost 35%.
While individual stocks zilizonipa return ya zaidi ya 100% ni CRWD, DDOG, DFS, ESTC, MELI, MGNI, PINS, ROKU, SE, SHOP, SQ, SWAV, SYF, TWLO, ZS.
Kwahiyo ukitengeneza portifolio yako weka a mix of varieties of asset classes to reduce exposure to risks.
Kama ungewekeza UTT Amis Liquid Fund, ungeshapata almost 30% gain toka january.Return yake lkn sio kubwa kulingana na stocks thats the difference
UTT bado naitathmini model yake ya return maana misingi ya dini inakwamisha km ni mfumo unaohusisha riba na CRDB siwezi invest maana kuna percent inatokana na ribaKama ungewekeza UTT Amis Liquid Fund, ungeshapata almost 30% gain toka january.
Nayo ni ETF.
Wakati individual stocks zilizofanya vizuri hapa bongo zilikuwa banking za CRDB.
Mimi nipo na ABBVE,NIO,SPG,KO,AGNC ambazo nilikua cna cash zilipo dip ila return nzuri roughly 50% in total cap investedKuna ETFs kama UCO, USO zimenipa return ya almost 1000% (post covid era). Semiconductors ETFs kama SOXL zimenipa return ya almost 200%. ESG ETFs zimenipa return ya almost 35%.
While individual stocks zilizonipa return ya zaidi ya 100% ni CRWD, DDOG, DFS, ESTC, MELI, MGNI, PINS, ROKU, SE, SHOP, SQ, SWAV, SYF, TWLO, ZS.
Kwahiyo ukitengeneza portifolio yako weka a mix of varieties of asset classes to reduce exposure to risks.
Mkuu kama ikikupendeza, fungua uzi juu ya hii biashara, faida hasara mazingatio n.k ili tujifunze kidogo na sie.Mimi nimetumia bank ya absa imekubali ila nmb iligoma kwa Mara ya kwanza
Ukifungua app ya etoro unachagua group za stocks ambazo unahitag kuwekeza kuna SP & p500, Dow Jones pamoja n Nos days
Kwenye kuwekeza kuna daily basis, monthly na annually kwaio niwewe tu unahitag nin ila lazima uwe unauwezo wa kufanya fundamental analysis amfano quality of the company, cashflow and financial statement za company ndo itakupa uleokeo wa kuchagua time of investment though hizo fundamental alanlysis unaweza pata kwa Ku google au kwakutumia quora app kuna groups huwa wanatoa hizo info
Ku invest iz simple just press buy kwenye any stock ambyo upo willing Ku invest chagua time then weka pesa na inatakiwa uwekeze kwenye stock ambyo INA quarterly earning increase rate ya 25% from past 5years hii kidogo itakupa confidence ya kuwekeza hapo with minimum risk
Kama huna info za kutosha kuhusu stocks kuna option ya Ku follow broker wewe utakuwa unacopy ancho wekeza ila lazima uangalie profile yake ujue kafaidika kiasi gan na ka loss kiasi gan pia kuna review za Huyo MTU
Vizuri kwako.Mm nipo na ABBVE,NIO,SPG,KO,AGNC ambazo nilikua cna cash zilipo dip ila return nzuri roughly 50% in total cap invested
Okay.UTT bado naitathmini model yake ya return maana misingi ya dini inakwamisha km ni mfumo unaohusisha riba na CRDB siwezi invest maana kuna percent inatokana na riba
Asilimia kama 80 ya utajiri wa Mamvi ni ununuaji wa hisa katika makampuni mbalimbaliHivi bongo kuna hisa zenye faida kumbe?
Unatumia app gani?Kuna ETFs kama UCO, USO zimenipa return ya almost 1000% (post covid era). Semiconductors ETFs kama SOXL zimenipa return ya almost 200%. ESG ETFs zimenipa return ya almost 35%.
While individual stocks zilizonipa return ya zaidi ya 100% ni CRWD, DDOG, DFS, ESTC, MELI, MGNI, PINS, ROKU, SE, SHOP, SQ, SWAV, SYF, TWLO, ZS.
Kwahiyo ukitengeneza portifolio yako weka a mix of varieties of asset classes to reduce exposure to risks.
Their hotline ni hii: +255747536696, wacheki watakupa maelekezo yote.Habari ndugu.
Naomba kupata elimu ya hawa DSE pamoja na namna ya kutumia hiyo application yao kununua hisa.
Ahsanteni.
Situmii app.Unatumia app gani?
Hiyo etoro minimum investment in 200$ so kama huna idea ya stock market au etoro yenyewe pitia sites kama udemy(online courses) usome pia kujua how etoro works pitia YouTube utapa additional information