Msaada-Watoto wetu(ndugu)wametiana mimba

Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.

Mambo ya kuchinja mnyama ni kukaribisha utawala wa shetani ndani ya familia. Hapo hakuna jinsi ni kuacha tu litokee lenye kutokea, msije mkafikiria hata kuitoa hiyo mimba mtatengeneza balaa
 
Wakati MUNGU kamuumba mtu mume na mke wa kwanza,wakazaa,tafisili rahisi na hao ndugu yena walibebeshana mimba yaani watoto wao na wajukuu,maana yake dunia yote tungekua mataahira sasa.nyie waacheni wazae kuliko kusema watazaa mataahira,acheni azae na mtoto atakua ni wa familia
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kwaza poleni kwa fedheha. Suala la kuzaa taahira si kweli, ni myth na imani za watu tu. Katika dini ya Kiislam, watu hao waliozaa wanaruhusiwa kuoana bila shaka yoyote. Ikiwa mnaabudu dini hiyo basi baba wa bint amuozeshe kijana kwa mahari watakayokubaliana.

Ni issue ya kifamilia kwa hiyo ndoa inaweza fungwa hata sebuleni tu. Hakuna haja ya sheikh wala nini? Wawepo mashahidi 2 tu ndio muhimu.

Sent using my Nokia Torch
 
Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
Watu mnaabudu sana mashetani. Sasa hapo kama sio kufuru ni nini? Dini yako ndio imeagiza hivyo?

Sent using my Nokia Torch
 
marriage within blood relations kuna uwezekano wa kupata genetics disorder, immune system inakuwa effected na mtoto atakayezaliwa anaweza kuwa weak
Uongo huo. Hao watoto kila mtu ana baba yake na kila mtu ana mama yake.

Sent using my Nokia Torch
 
Kama Hakuna Mwingine Anayejua Zaidi Yetu Piga Kimya Hivohivyo
 
Mambo ya kuchinja mnyama ni kukaribisha utawala wa shetani ndani ya familia. Hapo hakuna jinsi ni kuacha tu litokee lenye kutokea, msije mkafikiria hata kuitoa hiyo mimba mtatengeneza balaa
mungu yupo na mila zipo, haya ya kujifanya kuacha mila ndio hayo yalopelekea kufika huku kote, hao wazungu wenyewe walofundisha kuacha mila zetu wao tamaduni zinaparaganyika kwa uzungu wao wenyewe, hivyo sisi waafrika tusijifanye kudharau sana mila zetu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hachanganywi na njia za shetani halafu mchanganyaji akabaki salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…