nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
na hakuna mwafrika aliyeacga mila zake akabaki salama, na wanoacha tunawaona kwenye majumba ya ibada wanasota sana wakililia huruma kwa shida, wakati mababu zao huko kwenye asili zao wana technic za kusolve mambo, mwafrika matatizo yakikufika shingoni muombe mungu, ukiona yanazidi panda basi uende mkoani alikotokea bibi yako huko kuna makaveli ya kukuokoa, hata nyerere alisema ukabila hakuna ila kabila linahitajika kujulikana ili kwenda kutambika kwa muzimu hususa ya kabila lako inayokuhusu, sasa wengine wanajitia mila hawataki.Mungu hachanganywi na njia za shetani halafu mchanganyaji akabaki salama
Sent using Jamii Forums mobile app