Mimba inapotolewa kwa sababu yoyote ile kitendo hicho sio mauaji, kumbuka mimba siyo mtoto, mtoto ni yule aliyezaliwa ambapo ukimtoa uhai mara baada ya kumzaa au hapo baadaye hapo ndipo kitendo cha uuaji kitakuwa kimefanyika, lakini mimba (zygote) ambayo bado inategemea supply ya chakula na hewa kutoka kwa mama hiyo mimba inakuwa ni sehemu ya mwili wa mama na hapo anakuwa na hiyari ya kuitoa au laa.
Mimi niliposema mimba ya hao wana ndugu itolewe nilikuwa na hoja hii (ambayo umeikubali) kwamba watu wa damu moja wakizaa basi madhara ya kiafya mara nyingi hutokea katika watoto wanaozaliwa, sasa it would be inhuman to procreate a congenitally defective offspring deliberately while for sure you knew it would be suffering its entire life, forget about your suffering, as parents, from its upbringing. -- spending time, money and resources in its catering, something you knew before giving birth.
Na ndiyo maana leo kuna ultrasound, MRI nk, vyombo vya uchunguzi na elimu ya tiba na katika genetics ni kubwa kuweza kujua madhara mbalimbali ya kiafya hata kabla mtoto hajazaliwa sasa tutaishije kama watu wa karne ya 15??.
Wataalamu wa wanyama veternary doctors wanapohamilisha (insemination) wanyama ili kupata uzao bora usiokuwa na kasoro huchukua mbegu kutoka dume mwingine kabisa na wala sio dume kutoka katika ukoo uleule na hii ni kuepusha madhara ya kigenetic na magonjwa ya kurithi, sasa why should it be exceptional to humans as they are technically like animals in the case??!!--sasa itakuaje sisi tuishi tu kwa kujamiana hovyo kuliko hata hao wanyama tunao wa treat decently !!😁😁