Msaada-Watoto wetu(ndugu)wametiana mimba

Kwahiyo mtoto wa kaka na dada ni halali Ila mtoto wa baba mkubwa na mdogo haramu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi wewe kwanini mfano, Baba yako anaitwa John na mama yako anaitwa Janet na wewe unaitwa labda paskali, kwanini usiitwe Paskali Janet badala ya Paskali John??!!, ukijibu hilo swali ndipo
utapata Kiini cha jibu lako.
 
Na kwanini kwamfano,baba yako anaitwa Juma na baba Kaka yake baba yake anaitwa Jamal ,nawewe unaitwa Hussein ,kwanini ujiite Hussein Juma na sio Hussein Jamal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwanini kwamfano,baba yako anaitwa Juma na baba Kaka yake baba yake anaitwa Jamal ,nawewe unaitwa Hussein ,kwanini ujiite Hussein Juma na sio Hussein Jamal?

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda nikufafanulie zaidi ili upate kujua; mfano wewe unaitwa Ali na Baba yako anaitwa Ismaili kalemie. Halafu Baba yako mdogo (mdogo wa baba yako), anaitwa Juma kalemie anaye Binti anaitwa Khadija, sasa angalia majina yenu wewe na huyo dada yako Khadija;

Wewe utaitwa; Ali Ismaeli KALEMIE na dada yako ataitwa Khadija Juma KALEMIE. Maana yake damu zenu zinafanana na kuoana na kupata watoto itatokea shida kwa watoto.

Kwahiyo nyinyi nyote mzizi wenu ni KALEMIE. Lakini kitu kama hicho hakipatikani kwa binamu yako.Na hapo ndipo utaona maana ya watu kupewa ubini wa baba na mababu wa upande wa baba huko ndipo kwenye Ukoo.
 
Umesomeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya imani na miikio ya kimila na maadili, hakuna baya jingine, mtoto atazaliwa fresh tu hamna shida.
Haya mambo ni kawaida sana kwenye familia za kishua ndugu kugongana. Kuna familia moja nilienda eti dada yupo kitandani kwa kaka wanaangalia movie ilibid nifanye kilichonipeleka niondoke faster niwaachie uhuru
hebu malizia hii stori aisee, ehe wakaendeleaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kilivyojileleza,Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea,
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je Kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo, waozeni tu. Kiislam tunaruhusiwa, hao ni bin na bint amu.
 
Auntie Faiza, hilo siyo kweli, hebu leta aya ya Qur'an hapa inayohalalisha hilo jambo. Na Qur'an haiwezi kuhalalisha (huo uchafu). Hata Kibailojia haikubaliki, kuna madhara makubwa sana ya kiafya kwa watoto watakaozaliwa.
 
Qur'an 4:

22. Wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu na uchukizo na ni njia mbaya. 22

23. Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. 23

24. NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima. 24
 
Sio utaahira tu...
Kinachotokea ni any recessive gene katika familia ya hao 'baba na mama' inaweza kuwa dominant kwa sababu ya kujiongeza kutokana na kwamba baba na mama ni ndugu i.e. wote wanayo.

Hivyo kuna uwezekano wa kutokea matatizo mbali mbali ya kiafya yaliyokuwa hidden au masked katika vinasaba vya wazazi, kwa sababu hizo recessive genes mara nyingi zina defects. Huo utaahira ni moja wapo wa yanayoweza kutokea.
Au wakati mwingine mtoto anatokea fresh tu.

Sasa take yangu:
ABORT... Its disgusting!

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
Qur'an 4:

22. Wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu na uchukizo na ni njia mbaya. 22

23. Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. 23

24. NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima. 24

Je, mtu anaweza kuoa bibi yake (mama wa baba yake), kama haiwezekani ni kwa nini??
 
Soma Qiyas (Islamic Jurisprudence).

Wewe uliyesoma niambie mtu anaweza kuoa bibi yake au babu kuoa mjukuu wake??,kama haiwezekani ni kwa sababu ipi??

Kama inawezekana kaka kuoa dada yake (mtoto wa amu yake), vipi ishindikane mtoto kuoa bibi yake??!, kwa sababu hatuoni Qur'an kukataza.

Na katika suala hilo ya kuoana mtu na dadake (mtoto wa amu) lipo kwenye hiyo hiyo "Islamic jurisprudence"

Kwanini Mungu kaweka mipaka katika kuoana??, Sababu ni 2 kubwa, (1) kulinda heshima na utu.(2) Kulinda afya za vizazi vinavyopatikana, tunaona mfano, ndani ya Qur'an kwamba wakeze Mtume (saw) waumini waliharamishiwa kuwaoa baada ya mtume (saw) kutawafu hii ni kwa sababu ya kulinda heshima ya mtume (saw) na heshima yao na hata pia katika hiyo aya uliyoileta tunaona makatazo ya kuoa yapo katika line hiyohiyo ya kulinda heshima na utu.
Katika hiyo sababu ya pili tunaona afya ikizingatiwa mfano imekatazwa mtu kuoa dada yake wa toka nitoke (Baba mmoja mama mmoja) kwa sababu genetically (kwa kinasaba) wanakuwa wanafanana na genes zinapofanana katika muunganiko wa kujenga mtoto kunakuwa na shida kubwa (like charges repell) na most probably mtoto atakayezaliwa atakuwa na matatizo ya kiafya. Kwahiyo ni vyema kuepuka nafasi yoyote inayoweza kupelekea kuoana watu wenye damu (vinasaba) vinayoweza kufanana na hili ndilo linaloweza kutokea kwa kuoana kati ya watoto wa kaka wawili waliozaliwa na wazazi wamoja.

Kuoana tofauti tofauti ni sawa na kuchanganya genes tofauti ( gene blending)/ (unlike charges attract ) na hii inasaidia kujenga familia yenye afya na vipaji na hivyo kujenga taifa zima kwa ujumla lenye watu wenye afya.

Kifupi, suala la watoto wa kaka wawili kuoana nalo pia lazima liangaliwe katika Islamic jurisprudence kama jinsi mjukuu kuoa bibi yake au babu kuoa mjukuu wake litaangaliwa hivyo.

Elimu ya aina hiyo ya kuepusha mating ya genes zinazifanana pia hutumiwa na wafugaji, wao huepusha madume ku mate na ndugu zao waliozaliwa nao katika ukoo uleule na hivyo huchukua dume jingine (breed nyingine) kwa ajili ya kupandisha hii yote ni kuepusha genetic hereditary diseases na aina mbalimbali za shida---- the same applies to human beings.
 
Back
Top Bottom