ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
- Thread starter
- #81
Mtoto wa baba mkubwa na mdogo sio mabinamu?Wale siyo binamu ila ni kaka na dada ndio waliooana.[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa baba mkubwa na mdogo sio mabinamu?Wale siyo binamu ila ni kaka na dada ndio waliooana.[emoji848][emoji848]
Kwahiyo mtoto wa kaka na dada ni halali Ila mtoto wa baba mkubwa na mdogo haramu?Binamu ni mtoto wa kaka na dada.
Kwahiyo mtoto wa kaka na dada ni halali Ila mtoto wa baba mkubwa na mdogo haramu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwanini kwamfano,baba yako anaitwa Juma na baba Kaka yake baba yake anaitwa Jamal ,nawewe unaitwa Hussein ,kwanini ujiite Hussein Juma na sio Hussein Jamal?Hivi wewe kwanini mfano, Baba yako anaitwa John na mama yako anaitwa Janet na wewe unaitwa labda paskali, kwanini usiitwe Paskali Janet badala ya Paskali John??!!, ukijibu hilo swali ndipo
utapata Kiini cha jibu lako.
Umenenaduh umechanganya ma file au.... maana lishatokea unadhan mleta mada angeomba ushauri gani? jinsi ya kuzuia ngono kati ya ndugu? hilo lishatokea, stick katika ushauri anaotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwanini kwamfano,baba yako anaitwa Juma na baba Kaka yake baba yake anaitwa Jamal ,nawewe unaitwa Hussein ,kwanini ujiite Hussein Juma na sio Hussein Jamal?
Sent using Jamii Forums mobile app
UmesomekaLabda nikufafanulie zaidi ili upate kujua; mfano wewe unaitwa Ali na Baba yako anaitwa Ismaili kalemie. Halafu Baba yako mdogo (mdogo wa baba yako), anaitwa Juma kalemie anaye Binti anaitwa Khadija, sasa angalia majina yenu wewe na huyo dada yako Khadija;
Wewe utaitwa; Ali Ismaeli KALEMIE na dada yako ataitwa Khadija Juma KALEMIE. Maana yake damu zenu zinafanana na kuoana na kupata watoto itatokea shida kwa watoto.
Kwahiyo nyinyi nyote mzizi wenu ni KALEMIE. Lakini kitu kama hicho hakipatikani kwa binamu yako.Na hapo ndipo utaona maana ya watu kupewa ubini wa baba na mababu wa upande wa baba huko ndipo kwenye Ukoo.
hebu malizia hii stori aisee, ehe wakaendeleaje?Nje ya imani na miikio ya kimila na maadili, hakuna baya jingine, mtoto atazaliwa fresh tu hamna shida.
Haya mambo ni kawaida sana kwenye familia za kishua ndugu kugongana. Kuna familia moja nilienda eti dada yupo kitandani kwa kaka wanaangalia movie ilibid nifanye kilichonipeleka niondoke faster niwaachie uhuru
Hakuna tatizo, waozeni tu. Kiislam tunaruhusiwa, hao ni bin na bint amu.Kama kichwa cha habari kilivyojileleza,Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea,
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je Kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo, waozeni tu. Kiislam tunaruhusiwa, hao ni bin na bint amu.Kama kichwa cha habari kilivyojileleza,Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea,
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je Kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo, waozeni tu. Kiislam tunaruhusiwa, hao ni bin na bint amu.
Auntie Faiza, hilo siyo kweli, hebu leta aya ya Qur'an hapa inayohalalisha hilo jambo. Na Qur'an haiwezi kuhalalisha (huo uchafu). Hata Kibailojia haikubaliki, kuna madhara makubwa sana ya kiafya kwa watoto watakaozaliwa.
Nioneshe sehemu ipi katika Quran inasema mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo hawaoani!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 4:
22. Wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu na uchukizo na ni njia mbaya. 22
23. Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. 23
24. NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima. 24
Soma Qiyas (Islamic Jurisprudence).Je, mtu anaweza kuoa bibi yake (mama wa baba yake), kama haiwezekani ni kwa nini??
Soma Qiyas (Islamic Jurisprudence).