Msaada-Watoto wetu(ndugu)wametiana mimba

Mungu hachanganywi na njia za shetani halafu mchanganyaji akabaki salama
na hakuna mwafrika aliyeacga mila zake akabaki salama, na wanoacha tunawaona kwenye majumba ya ibada wanasota sana wakililia huruma kwa shida, wakati mababu zao huko kwenye asili zao wana technic za kusolve mambo, mwafrika matatizo yakikufika shingoni muombe mungu, ukiona yanazidi panda basi uende mkoani alikotokea bibi yako huko kuna makaveli ya kukuokoa, hata nyerere alisema ukabila hakuna ila kabila linahitajika kujulikana ili kwenda kutambika kwa muzimu hususa ya kabila lako inayokuhusu, sasa wengine wanajitia mila hawataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kuchinja mnyama ni kukaribisha utawala wa shetani ndani ya familia. Hapo hakuna jinsi ni kuacha tu litokee lenye kutokea, msije mkafikiria hata kuitoa hiyo mimba mtatengeneza balaa
Hapa ninapoishi kuna mtoto mmoja ambae baba na mama yake ni kaka na dada wa damu. Lakini dogo kwa sasa yupo darasa la 7 na wala hana tatizo lolote.
 
Duh mkuu, niko interested kujua wanamlea vipi, yale mashamsham ya baba na mama i mean
 
na hakuna mwafrika aliyeacga mila zake akabaki salama, na wanoacha tunawaona kwenye majumba ya ibada wanasota sana wakililia huruma kwa shida, wakati mababu zao huko kwenye asili zao wana technic za kusolve mambo, mwafrika matatizo yakikufika shingoni muombe mungu, ukiona yanazidi panda basi uende mkoani alikotokea bibi yako huko kuna makaveli ya kukuokoa, hata nyerere alisema ukabila hakuna ila kabila linahitajika kujulikana ili kwenda kutambika kwa muzimu hususa ya kabila lako inayokuhusu, sasa wengine wanajitia mila hawataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji381][emoji381][emoji381]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kilivyojileleza,Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea,
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je Kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nendeni kwa wataalamu ili muitoe hiyo mimba.

Katika mazingira hayo ni nadra sana kuzaa mtoto asiyekuwa na kasoro kwa sababu hao wahusika damu zao zinafanana kwahiyo ni dhahiri watazaa ZOMBIE ambaye atakuwa ni mzigo mkubwa sana kumlea pili katika hali hiyo kila mtu atajua kuhusu hiyo kashfa kutokana na hali mbaya ya huyo mtoto kama atazaliwa akiwa hai.

Pia hilo ni kosa la jinai.
 
Kwahiyo wale ambao wanaoana dini zao zinawaruhusu ,je serikali haifungishi ndoa hizo kwakuwa ni kosa la jinai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mkuu, niko interested kujua wanamlea vipi, yale mashamsham ya baba na mama i mean

Ni wazi kabisa mtoto huyo kama ataishi lazima atakuwa na kasoro kubwa ya kiafya, njia nzuri ni kuitoa hiyo mimba kitaalamu kwani mtoto akishazaliwa basi huyo ni mtu anayejitegemea na anazo haki zote kama binadamu huru japokuwa atakuwa na udhaifu kiafya.
 
Kwahiyo wale ambao wanaoana dini zao zinawaruhusu ,je serikali haifungishi ndoa hizo kwakuwa ni kosa la jinai?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu wa damu kama walivyokuwa hao jamaa hairuhusiwi ni kosa la jinai.

Yaani Baba wa waliooana ni ndugu wa kuzaliwa kutoka kwa Baba mmoja na Mama mmoja. Huyo atakayefungisha hiyo ndoa ya ndugu wa aina hiyo huku akijua atakuwa ni juha.
 
na hakuna mwafrika aliyeacga mila zake akabaki salama, na wanoacha tunawaona kwenye majumba ya ibada wanasota sana wakililia huruma kwa shida, wakati mababu zao huko kwenye asili zao wana technic za kusolve mambo, mwafrika matatizo yakikufika shingoni muombe mungu, ukiona yanazidi panda basi uende mkoani alikotokea bibi yako huko kuna makaveli ya kukuokoa, hata nyerere alisema ukabila hakuna ila kabila linahitajika kujulikana ili kwenda kutambika kwa muzimu hususa ya kabila lako inayokuhusu, sasa wengine wanajitia mila hawataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichosema ni kweli kabisa mkuu mila zipo tena kwenye suala zima la utafutaji mali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hakuna mwafrika aliyeacga mila zake akabaki salama, na wanoacha tunawaona kwenye majumba ya ibada wanasota sana wakililia huruma kwa shida, wakati mababu zao huko kwenye asili zao wana technic za kusolve mambo, mwafrika matatizo yakikufika shingoni muombe mungu, ukiona yanazidi panda basi uende mkoani alikotokea bibi yako huko kuna makaveli ya kukuokoa, hata nyerere alisema ukabila hakuna ila kabila linahitajika kujulikana ili kwenda kutambika kwa muzimu hususa ya kabila lako inayokuhusu, sasa wengine wanajitia mila hawataki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo ni ushirikina mkuu, watu wa zamani walikuwa na udhuru (excuse) ya kutomjua Mungu katika njia bora ( njia za dini) na ndiyo maana Mungu aliwasikiliza na kuwatimizia huku akijua wanakosea, lakini leo tumeweza kumjua Mungu kupitia imani sahihi za dini walizokuja nazo mitume wa huyo huyo Mungu wewe unataka kuturudisha zama za mababu zama za kuabudu Mizimu.🤔🤔🤔
 
Mlee watoto hamna laana yoyote labda kama kuna wachawi kwenye ukoo wenu ndio wata waroga....

Hapo mwanzo kulikua na ADAM na EVA lakini familia ikakua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma Biblia katiba cha mwanzo tunaambiwa Adam alizaa watoto wawili tu wa tena wa kiume, ndo habali zao zilizoandikwa, Kaini na Habili, na Habili aliuliwa na kaka yake Kaini, sasa cha kujihoji ikiwa hao ndo watoto wa Adam pekeee sisi wengine ni watoto wa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisome Biblia kama gazeti mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hakuna mwafrika aliyeacga mila zake akabaki salama, na wanoacha tunawaona kwenye majumba ya ibada wanasota sana wakililia huruma kwa shida, wakati mababu zao huko kwenye asili zao wana technic za kusolve mambo, mwafrika matatizo yakikufika shingoni muombe mungu, ukiona yanazidi panda basi uende mkoani alikotokea bibi yako huko kuna makaveli ya kukuokoa, hata nyerere alisema ukabila hakuna ila kabila linahitajika kujulikana ili kwenda kutambika kwa muzimu hususa ya kabila lako inayokuhusu, sasa wengine wanajitia mila hawataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hachanganywi na vitu vya kipuuzi mambo ya kishetani shetani
ukiona hivo basi jua kuw mhusika ni mshirikina ila amejificha tu kanisani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wa damu kama walivyokuwa hao jamaa hairuhusiwi ni kosa la jinai.

Yaani Baba wa waliooana ni ndugu wa kuzaliwa kutoka kwa Baba mmoja na Mama mmoja. Huyo atakayefungisha hiyo ndoa ya ndugu wa aina hiyo huku akijua atakuwa ni juha.
Kwahiyo unaizungumziaje serikali inayofungisha ndoa ya za mabinamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini waoa
Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
Kwanini waoane, wanawake wangapi wanaolewa na waliowatia mimba?, au wanawake wangapi wanatoa mimba?
 
Back
Top Bottom