Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
Mambo ya kuchinja mnyama ni kukaribisha utawala wa shetani ndani ya familia. Hapo hakuna jinsi ni kuacha tu litokee lenye kutokea, msije mkafikiria hata kuitoa hiyo mimba mtatengeneza balaa