Msaada-Watoto wetu(ndugu)wametiana mimba

Magonjwa ya kurithi ni yepi?msaada tafadhali
What are the diseases that are hereditary?
These include many cancers, as well as some forms of neurofibromatosis. Genetic disorders typically involve the inheritance of a particular mutated disease-causing gene, such as sickle cell disease, cystic fibrosis, and Tay-Sachs disease.
 
Kumbe Mzungu daa!! Imekula kwangu
 
Ilitokea hii sijui kilichofanyika lakini kwa sasa wana watoto wanne walikwishaoana zamani mno baada ya ujauzito kuanza kukua.

Ni mjomba na shangazi sasa watoto wao hta sielw niwaiteje
 
Kati yao hao watoto hakuna mwenye utaahira?
 
Back
Top Bottom