Msaada watu wa Civil Engineering wanaweza kufanya kazi TAZARA

Msaada watu wa Civil Engineering wanaweza kufanya kazi TAZARA

nyasangaboy

Senior Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
127
Reaction score
58
Habari zenu wadau. Ni hivi nilikuwa nataka kujua kwa mtu aliesomea Civil Engineering anaweza kufanya kazi kwenye Shirika la Reli TAZARA.

Msaada wenu tafadhali.
 
Uwe na connection yenye uzito wa 222227t578 richer / Cubic metre 12w.ooooo.
 
Ndio inawezekana, mfano wapo vijana wanasimamia reli ya kisasa ambao ni Civil Engineers
 
Back
Top Bottom