[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali baba yako hiyo hela aliyokusomesa angenunua ng'ombe wengi afuge apate maziwa , kuliko kusomesha ling'ombe limoja ambalo halitoi hata maziwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni nyumba ya baba yake anahaki ya kukutimua Ingekua anakutimua nyumba yake (ya baba yako ) hapo tungekusaidia. Toka mkuu
Kwa hio wewe unatumika na CCM sio?Nenda kalale Magogoni.Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana
Tangu nimemaliza chuo, nimeangaika sana kupata kazi bila mafanikio.
Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kula kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa
Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.
Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwaajili ya maadalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji
Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe
Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.
Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake
Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji
Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe
Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali
Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?
Asanteni.
Baba anaishi kwa babu, duuuu bora ulivyonyamaza UshiNimejikuta nawazaaaaa....
Then nikaishia kuaikitika tu, alafu nikanyamaza
Habari hii inasikitisha kwa sababu nyingi sana.Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana
Tangu nimemaliza chuo, nimeangaika sana kupata kazi bila mafanikio.
Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kula kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa
Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.
Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwaajili ya maadalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji
Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe
Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.
Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake
Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji
Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe
Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali
Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?
Asanteni.
Miaka 28 ni mdogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]Kwa kweli kwa kijana mdogo kama wewe mwenye umri wa miaka 28 tu mi naona baba anakosea kukuambia uhame hapo nyumbani. Yeye anategemea kwa umri wako huo mdogo we utaenda wapi na ndio kwanza umemaliza chuo kikuu mwaka jana? Baba alitakiwa akuache kwenye kile chumba ambacho babu alikuachia na akasema usinyanyasike hapo nyumbani. Mimi nakushauri ukamripoti baba kwa mjumbe wa nyumba 10 ili uruhusiwe kuendelea kukaa hapo angalau kwa miaka 15 ijayo ili uwe umeshajipanga.
Niko upande wa baba ako, hivi kweli hufikirii chanzo cha wewe kukosa ajira ni c.c.m? Watu wanapotea, wanakufa na wanatumbuliwa hovyo kila siku huoni? Ungekaa na baba ako vizuri akakueleza sababu kuliko kujimwambafai na degree yako