Jitahidi kuangalia hizi alama" "mie naandika for funny tu mkuu
Mpumbavu kabisa wewe,yaani unampelekea Baba yako panya nyumbani wakati hawapendi na wewe unajua kabisa?anatakiwa akupe kipigo kikali sana Kwa kumdharau,unadanganyika na vicheji mbuzi shwain kabisa
Kila nikiandika nafuta.
..........Hivi chama chetu kinajua kinachukiwa hivi mtaani?
Nyumba ni ya babu yangu, ananitisha eti akinikuta ndani atanimwagia maji ya moto, anasema nikaishi ukouko kwa mjumbe wa ccm
Kesi ya nyani umeileta kwa mkulima!
Acha nijiandae kusoma komenti watakutia hasira huku hadi ujikute unajuta kuandika uzi wako.
Habari hii inasikitisha kwa sababu nyingi sana.
1. Familia inafarakana.
2. Kijana wa miaka 28 anaishi nyumbani na baba yake.
3. Baba wa kijana mwenye miaka 28 naye anaishi nyumba ya baba yake.
4. Kijana wa miaka 28 anataka kula vichwa vya nyumbani ili apate faida.
5. Siasa zinafarakanisha familia.
6. Wahitimu wa vyuo hawana kazi za kueleweka.
7. Mafarakano ya kifamilia yanataka kupelekwa polisi.
8. Kijana wa miaka 28 anapangiwa kutoshiriki siasa, haki yake ya msingi ya kikatiba.
9. Vyama vya siasa vinatumia hela na ukosefu wa ajira kama mtaji wa kisiasa.
10. Umasikini mwanzo mpaka mwisho. Wa akili na mali.
[emoji15] Kama nyumba ya babu ni ya baba yake, Basi pasipo na Shaka ya baba yake ni ya kwake yeye[emoji847][emoji847]nyumba ya babu ni ya baba yako wewe katafute chako
Najua hukumaanisha. Mie pia nimeandika kuonesha Kuna aina mpya ya uandishi imezuka, tofauti na tuliyofundishwa darasani. Huya nasoma uchangiaji wako kwenye mijadala. Nafahamu sio uandishi wako huu
HahahahKesi ya nyani umeileta kwa mkulima!
Acha nijiandae kusoma komenti watakutia hasira huku hadi ujikute unajuta kuandika uzi wako.