didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
Nenda haraka sana hata kama ni sasa hivi upate kinga japo za siku tatu then Jtatu utapewa za mwezi.Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
Weweee hivi unalijua lile joto vzr?Sasa imagine ungepiga nyeto yako, wala usingekuwa na hiyo presha.
Au ungetulia zako na washikaji, au home Au kazini wala hata usingekuwa hapo ulipo
Joto la nn?Weweee hivi unalijua lile joto vzr?
Mwenye ukimwi hata kusweat hawezi naongelea binadamu wa kawaida😐Joto la nn?
Joto la mtu mwenye ukimwi au?
Nimepitia joto zote hizo, ila nyeto n bestMwenye ukimwi hata kusweat hawezi naongelea binadamu wa kawaida😐
kabla ya kutafuta dawa mchukue mkacheki afya wote au ulimuokota? usikute hana ngoma ila wasiwasi wako tu,Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
Ahsante kwa ushauri japo umeniattack kwa shtuma za uongo. Malaya gan akubali kupigwa kavu?? Sio Malaya huyuNenda haraka sana hata kama ni sasa hivi upate kinga japo za siku tatu then Jtatu utapewa za mwezi.
Vijana tunawaonya kila siku acheni kufata stori za kununua malaya mitandaoni.
Anayekwamnia anatomba wanawake 6 kwa siku anakudanganya unaingia kichwa kichwa oa mke wako nyumbani utulie utafute maisha.
Hakikisha unapata dawa ndani ya masaa 72 ukipata ndani ya msaa 24 ni bora zaidi na uhakika.
Kama huyo mwanamke unamkubalia mwite akapime kwanza ili usife kwa presha.
Baada ya kusema hayo sikiliza Mziki huu wa Luckydube
"Sins of the Flesh" 1992
" Where there is pleasure there is always a danger"
NiNimepitia joto zote hizo, ila nyeto n best
Upumbavu tu aisee.. najuta mimi na hayo majoto sijuiWeweee hivi unalijua lile joto vzr?
Una uhakika??Nimepitia joto zote hizo, ila nyeto n best
Achana na joto!!!Weweee hivi unalijua lile joto vzr?
It's not fair broUshaukwaa R.I.P didy
Ahsante.Parachute,KLY,mafuta ya nazi zana zote ulikosa
Tatzo mkipewa uchi vijana mnakamia sana....teleza kistaarabu no mchubuko no ukimwi.
Jaribu vya baridi😫Upumbavu tu aisee.. najuta mimi na hayo majoto sijui
Aiiihhh wewe sasa tunaongea lugha moja😍Achana na joto!!!
Ile ladha ya chumvi ukiwa ushavuta bangi mbili na JD ndogo...
unaweza ukazamia chumvini masaa 6 mpaka usingizi ukakupitia hukohuko