Msaada wenu kuhusu PEP ( dawa za kuzuia ukimwi baada ya ngono)

Jidanganye
Mchubuko ndio mpango mzima.

Niliruka na mshangazi katoboa masikio matundu ya kutosha,katoboa pua, tatuu mwili mzima kifuani,mkononi,miguuni,shingoni kwenye vidole vya mkono na kali ya mwisho kiunoni kwenye mfereji unapooanza(ukiiona hiyo tatuu basi unaingia katika list ya kumpelekea moto) na shanga anavaa....Ni malaya mstaafu kwa kifupi(usiku nilikuwa napigiwa nyimbo za gospo na mahubiri ya mbingu duniani)

Kwa huo muonekano ungeogopa.

Lakini bado nadunda mwaka huu.
 
Demu wa sinza unakula kavu kweli?
Anyway anza dozi ya karanga mapema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…