Orodhesha dawa ulizoandikiwa na Dr wako na ambazo umewehi kutumia katika kipindi chote cha ugonjwa wako.Nimejaribu dawa mbali mbali ambazo niliandikiwa na dr
ClotrimasoleOrodhesha dawa ulizoandikiwa na Dr wako na ambazo umewehi kutumia katika kipindi chote cha ugonjwa wako.
NB:Zingatia usafi vinginevo Pumbu zitazidi Ku undergo erosion
Asante kwa ushauri Mkuu. Aise huwa najikausha vizuri tu..kwa huu ushauri hadi nielmewaza kununua dryerMala nyingi hiyo utokea unapokuwa na unyevu sehemu nyeti jaribu unapooga unakuwa mkavu na hizo sehemu zote nyeti zisiwe na maji maji pengine hayo maji maji uleta bactelia zenyekufanya ujikune sana
Neno. Huenda hili likawa linachangia kwa kiasi kikubwa sana,kiukweli huwa naoga maji ya kwenye tankAngalia maji unayotumia kk nilishawahipata shida ya kuwashwa kumbe maji yalikua yanakaa muda mrefu kwa tank nilivyobadili makazi ikawa basi
Nimeambiwa hii siyo sexual transmitted kwa hiyo sidhani kama hili ni tatizo. Anyway mashori niliowahi kutembea nao wote wasafi kwa kiwango cha kuridhishaPia kua makini na mizigo unayobeba huko uliko wenda ndio ikawa chanzo cha tatizo
Asante kwa ushauri wakokunywa punje za vitunguu swaumu mbili moja asubuh moja jioni kwa muda wa miezi mitatu,
ANGALIZO.kama una presha ya kushuka usitumie maana vitunguu swaumu huwa vinashusha presha,pia jaribu injection hizo fangasi ni chronic mkuu bila injection hizo zitakusumbua sana ziko kwenye damu