Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nausubiri kwa hamu kweliKuna Uzi uliwahi kutembea hapa kuwa unachukua septirin za buku unazisaga had ziwe unga..tumia chupa Kama ya bia kuzisaga..nunua mafuta ya babycare ya Mia..kichupa kidogo .changanya Kama mkrogo had vichangamanee Sanaa..paka Mara 2 kwa siku.
Nikipata ule Uzi nitauweka hapa..otherwise utapaka..getrison,Whitefield, candistant sijui..cromatizole sijui na udambwidambwi wooteee..ila hutapona..hata ukave boxer mpya kwa kila siku..
Na pumbu linawasha bwana...asikwambie MTU..kibaya zaidi litaanza toa harufu ya kiferiferi
Ni vizuri kujua dawa gani umetumia!Nimejaribu dawa mbali mbali ambazo niliandikiwa na dr
Pole sana mkuu kwa hiyo bado unawashwa[emoji86]Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Labda niapply powder but hizo mambo zingine nafanya inavyotakikanaPole sana, kausha kwa kutumia taulo linalofyonza maji vizuri..zile cotton..pia hiyo sehemu haitakiwi kuwa moist, baada ya kukausha vizuri ukishaoga unaweza kutumia powder ku-absorb any remaining moisture... pamoja na dawa utakazoshauriwa..tunajua there is no silver bullet, jaribu kila option huwezi jua ni ipi itakusaidia..
Asante captainPole Sana cha kwanza kabisa zingatia usafi wa nguo zako za ndani na usikae na nguo ya ndani kwa mda mrefu bila kubadilisha kingine Epuka kuvaa nguo za kubana pia kitaalam tunashauriwa kutumia nguo zenye asili ya panga ambazo zinaruhusu hewa kupita sehem za siri huwa hazipendi mazingira ya joto Sana fanya hivyo kama hali itaendelea hivyo unaweza kupiga namba hizi watakusaidia
0658521921 /0624073681
Afyayajamii92@gmail.com
Aisee pole sana mkuu ungeweka na picha maana huku kuna madoctary wanaweza kukusaidia zaidiBado zinawasha, zinawasha kinoma
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Nitaweka nikipona maana, lina sura mbaya kinoma..harmo anasubiri hapa