Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunga maji au sabuni mojawapo ni chanzo. Utakuwa na aina fulani ya allergyTiba ushauri chochote kile
Baharini kuna nini mrHapo nilipohighlight ndo kwenye tatizo, angalia mazingira na hali ya hwewa unapoishi,mi nahisi itakuwa Dar hiyo inaitwa pumbu erosion jitahidi kuwa unaenda kuogelea baharini japo mara 3 kwa wiki na hizo pumbu zikaushe vizuri kabisa pasiwe na unyevunyevu wowote. madawa yatakuingiza gharama bure tu kama hujatatua chanzo cha tatizo.
maji ya chumvi ni dawa tosha kabisa, hata kama una vipele vya uongo na kweli, fungus mguuni vyote vinatoka mimi nimeprove mwenyeweBaharini kuna nini mr
Sawa. Hata hivyo nahisi hizi ni dalili za ngwengwe..nitakujaNinatibu Ugonjwa kisukari,ugonjwa pumu,vidonda vya tumbo,Saratani ya aina zote,Maradhi ya Hepatitis B Virus,UTI sugu,Typhoid,Tezi Dume,Fibroid, Uvimbe wa kizazi Maradhi ya Presha za aina zote, Kifua kikuu,Upungufu wa nguvu za kiume ,Kupunguwa unene,tumbo na kitambi kwa haraka na Ukimwi..
Kuna Uzi uliwahi kutembea hapa kuwa unachukua septirin za buku unazisaga had ziwe unga..tumia chupa Kama ya bia kuzisaga..nunua mafuta ya babycare ya Mia..kichupa kidogo .changanya Kama mkrogo had vichangamanee Sanaa..paka Mara 2 kwa siku.
Nikipata ule Uzi nitauweka hapa..otherwise utapaka..getrison,Whitefield, candistant sijui..cromatizole sijui na udambwidambwi wooteee..ila hutapona..hata ukave boxer mpya kwa kila siku..
Na pumbu linawasha bwana...asikwambie MTU..kibaya zaidi litaanza toa harufu ya kiferiferi
Huna haja ya kupasua kichwa...nenda sokoni hata kama huna pesa omba KITUNGUU SAUMU KIMOJA!! rudi home kitwange kiwe uji uji ukiwa umechanganya na maji ya vugu vugu!! Sasa huo uji uji ubugie kama ulivyo!!Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Hii imewahi ni saidiameza fulcan
🙁Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Prof mngondaNenda Agakhan Hospital kuna mtaalamu wa magonjwa wa ngozi! Huwa anaingia mchana asubuhi yuko Muhimbili! Ni Professor...jina nimelisahau.
Ukijikausha taulo usilirudie tena hadi ulifue.. kuwa na matatu au manne ya cotton.. usivae boxer za mpira vaa cotton pia usirudie kuzivaa bila kuzifua (wengine tuna tabia tunaoga then tunapachika boxer ileile tunaenda kubadilishia chumbani..NO).. IF POSSIBLE TAULO NA BOXER UWE UNAZITIA KWENYE MAJI MOTO THEN ZIFUE ..Clotrimasole
Tineacide na cream nyingine ambazo hata majina siyakumbuki but sijaona kama vimenisaidia. Usafi sawa, najikausha na towel but still persisted..nawaza sijui ninunue dryer ndogo?
He is an angel!Prof mngonda
Prof yuko vizuri, Aliwai kunipa ushauri nilikuwa na tatizo la vipere, kuwa nipunguze stress, na pia muda mwingi baada ya kazi niutumie kuangalia vitu vinavyonipa furaha..na kweli baada ya kufanya hivyo niko vizuriHe is an angel!
Amazing really! Kuna rafiki yangu alikuwa na fungus za vidole vya miguu, yaani zilikuwa so severe na zilikuwa zinapona na kujirudia ilikuwa 2012 march akamwona huyo professor alimwandikia dawa ya kupaka na vidonge atumie kwa siku 14, kwa kweli hadi sasa hajaugua tena, kwa kweli huyo prof ana mikono iliyo barikiwaProf yuko vizuri, Aliwai kunipa ushauri nilikuwa na tatizo la vipere, kuwa nipunguze stress, na pia muda mwingi baada ya kazi niutumie kuangalia vitu vinavyonipa furaha..na kweli baada ya kufanya hivyo niko vizuri