Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

Nenda Agakhan Hospital kuna mtaalamu wa magonjwa wa ngozi! Huwa anaingia mchana asubuhi yuko Muhimbili! Ni Professor...jina nimelisahau.
 
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Maradhı ya fungus,UTI,typhoid,Maradhi ya Pumu,Maradhi ya Kisukari, Vidonda vya Tumbo na Maradhi ya Malaria, Maradhi hayo yote yamekuwa ni Maradhi sugu kwa Dawa za Hospitali huwezi kupona hata ukitumia dawa kwa muda wa mwaka mmoja utakuwa unapata nafuu sio kupona kabisa.Dawa ya kuweza kutibu hayo maradhi mimi ninayo ukihitaji dawa toka kwangu nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia kwa siku 30 na utapona kabisa. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Mkuu zingatia iyo dose ya septrine na baby care i guarantee you two weeks utakuja na ushuhuda hapa ukishukuru
 
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Tumia dawa na usitumie tena boxer zako za zamani uzitupe na ununue zingine.
 
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Hili tatzo lipo kwa watu wengi..!! Cha kukushaur hapo ni kwamba tumia sabuni ya magadi na epuka kuvaa nguo zilizokubana hasa boxer vaa pens pekee yake kwa sababu tatzo hilo linasababishwa na joto
 
Tumia sabuni inaitwa tetimos tumia kuongea paka penye tatizo Ikea kama dakika kumi itakusaidia kwa siku mara tatu
 
Nenda Agakhan Hospital kuna mtaalamu wa magonjwa wa ngozi! Huwa anaingia mchana asubuhi yuko Muhimbili! Ni Professor...jina nimelisahau.
Thank you
 
Maradhı ya fungus,UTI,typhoid,Maradhi ya Pumu,Maradhi ya Kisukari, Vidonda vya Tumbo na Maradhi ya Malaria, Maradhi hayo yote yamekuwa ni Maradhi sugu kwa Dawa za Hospitali huwezi kupona hata ukitumia dawa kwa muda wa mwaka mmoja utakuwa unapata nafuu sio kupona kabisa.Dawa ya kuweza kutibu hayo maradhi mimi ninayo ukihitaji dawa toka kwangu nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia kwa siku 30 na utapona kabisa. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Ha ha ..hadi kisukari,
 
Mwenye Enzi Mungu akutangulie ndugu yangu pole sana!
 
Chukua septrin za buku zisage changanya na mafuta ya baby care kila ukioga upake, ushauri huu niliuona humu JF na ni kweli unaponesha
 
3267a3b025ee306fc8aeeef9ecafcefb.jpg

Tumia hiyo hapo ilinisaidia sana

Mtafute 0714547830
 
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. 'Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo'. Msaada wenu wakuu
Hapo nilipohighlight ndo kwenye tatizo, angalia mazingira na hali ya hwewa unapoishi,mi nahisi itakuwa Dar hiyo inaitwa pumbu erosion jitahidi kuwa unaenda kuogelea baharini japo mara 3 kwa wiki na hizo pumbu zikaushe vizuri kabisa pasiwe na unyevunyevu wowote. madawa yatakuingiza gharama bure tu kama hujatatua chanzo cha tatizo.
 
Back
Top Bottom