Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

Hapo nilipohighlight ndo kwenye tatizo, angalia mazingira na hali ya hwewa unapoishi,mi nahisi itakuwa Dar hiyo inaitwa pumbu erosion jitahidi kuwa unaenda kuogelea baharini japo mara 3 kwa wiki na hizo pumbu zikaushe vizuri kabisa pasiwe na unyevunyevu wowote. madawa yatakuingiza gharama bure tu kama hujatatua chanzo cha tatizo.
Baharini kuna nini mr
 
Ndugu nakushauri usipate shida ya kutumia dawa za kuuma tafuta Alvera, Nilikuwa na fungus nimetimia huo mmea zimeondoka, week 2 zilizopita Nilikuwa kwenye seminar nahis kwenye guest nikapata fungus za mguu nimetumia Alvera zimeondoka
 
Unatumia toilet paper?mana kuna watu ni mabingwa wa kujiswafi na maji afu wasijikaushe,hayo ndo mazingira yanayokuza fungus
Tibia upya afu hakikisha unakuwa mkavu muda wote
 
Ninatibu Ugonjwa kisukari,ugonjwa pumu,vidonda vya tumbo,Saratani ya aina zote,Maradhi ya Hepatitis B Virus,UTI sugu,Typhoid,Tezi Dume,Fibroid, Uvimbe wa kizazi Maradhi ya Presha za aina zote, Kifua kikuu,Upungufu wa nguvu za kiume ,Kupunguwa unene,tumbo na kitambi kwa haraka na Ukimwi..
Sawa. Hata hivyo nahisi hizi ni dalili za ngwengwe..nitakuja
 
maji ya chumvi ni dawa tosha kabisa, hata kama una vipele vya uongo na kweli, fungus mguuni vyote vinatoka mimi nimeprove mwenyewe
[emoji13] [emoji14] [emoji14] sawa
 
Unatumia toilet paper?mana kuna watu ni mabingwa wa kujiswafi na maji afu wasijikaushe,hayo ndo mazingira yanayokuza fungus
Tibia upya afu hakikisha unakuwa mkavu muda wote
Noted
 
Kuna Uzi uliwahi kutembea hapa kuwa unachukua septirin za buku unazisaga had ziwe unga..tumia chupa Kama ya bia kuzisaga..nunua mafuta ya babycare ya Mia..kichupa kidogo .changanya Kama mkrogo had vichangamanee Sanaa..paka Mara 2 kwa siku.

Nikipata ule Uzi nitauweka hapa..otherwise utapaka..getrison,Whitefield, candistant sijui..cromatizole sijui na udambwidambwi wooteee..ila hutapona..hata ukave boxer mpya kwa kila siku..

Na pumbu linawasha bwana...asikwambie MTU..kibaya zaidi litaanza toa harufu ya kiferiferi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Harufu ya pwipwiri watu wa Tanga wanaita hivyo.

Eti kiferi feri
 
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Huna haja ya kupasua kichwa...nenda sokoni hata kama huna pesa omba KITUNGUU SAUMU KIMOJA!! rudi home kitwange kiwe uji uji ukiwa umechanganya na maji ya vugu vugu!! Sasa huo uji uji ubugie kama ulivyo!!

Hii dawa inakata minyoo wa aina yote!

Fangasi sugu na ambao sio sugu!!

Kama una presha usitumie hii dawa

Pia UWE NA SUPPLY YA MAJI NZURI NA UWE KARIBU NA CHOO IN CASE TUMBO LIKIVURUGA hasa kama una minyoo!!

Shukran kwa BAOSITA member wa jf!
 
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
🙁
 
Clotrimasole
Tineacide na cream nyingine ambazo hata majina siyakumbuki but sijaona kama vimenisaidia. Usafi sawa, najikausha na towel but still persisted..nawaza sijui ninunue dryer ndogo?
Ukijikausha taulo usilirudie tena hadi ulifue.. kuwa na matatu au manne ya cotton.. usivae boxer za mpira vaa cotton pia usirudie kuzivaa bila kuzifua (wengine tuna tabia tunaoga then tunapachika boxer ileile tunaenda kubadilishia chumbani..NO).. IF POSSIBLE TAULO NA BOXER UWE UNAZITIA KWENYE MAJI MOTO THEN ZIFUE ..
**SHUKA BADILI MARA KWA MARA NA ZIFULIWE
**KAMA NDANI KUNA JOTO TAFUTA FENI IPUNGUZE JASHO MWILINI
*** JARIBU KUVUTA KUMBUKUMBU HIYO MIKOA UNAYOENDA HUUMWI..INA CHARACTERISTICS ZIPI.. ZINAZOWEZEKANA ZIFANYE HAPO ULIPO SASA..
**OGA MAJI ULIYOYACHOTA KWENYE BOMBA BILA KUYAWEKA KARONI AU TANKINI KWA MUDA MREFU
**FUATA MAELEKEZO YA DAWA ZA DKTR AU TIBA MBADALA
**USILALE NA NGUO NZITO.. boxer na vest labda
**ukitoka haja jisafishe na ujikaushe vizuri
**ulizia aina ya vyakula vyenye kuweza kukusaidia..
**chuma jani la aloe vera paka mchuzi wake ule..
USICHOKE WALA KUONA AIBU KUTAFUTA TIBA ..mficha maradhi... MUNGU AKUSIMAMIE
 
He is an angel!
Prof yuko vizuri, Aliwai kunipa ushauri nilikuwa na tatizo la vipere, kuwa nipunguze stress, na pia muda mwingi baada ya kazi niutumie kuangalia vitu vinavyonipa furaha..na kweli baada ya kufanya hivyo niko vizuri
 
Prof yuko vizuri, Aliwai kunipa ushauri nilikuwa na tatizo la vipere, kuwa nipunguze stress, na pia muda mwingi baada ya kazi niutumie kuangalia vitu vinavyonipa furaha..na kweli baada ya kufanya hivyo niko vizuri
Amazing really! Kuna rafiki yangu alikuwa na fungus za vidole vya miguu, yaani zilikuwa so severe na zilikuwa zinapona na kujirudia ilikuwa 2012 march akamwona huyo professor alimwandikia dawa ya kupaka na vidonge atumie kwa siku 14, kwa kweli hadi sasa hajaugua tena, kwa kweli huyo prof ana mikono iliyo barikiwa
 
Back
Top Bottom