Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

Hapa ndipo nakumbuka maisha ya ughaibuni kuoga maji ya moto kamwe huwezi kusumbuliwa na magonjwa haya.
Hata nyumbani ukiamua si unapasha tu maji moto Mkuu..tatizo mkaa umepanda bei
 
unapaka dawa unarudi kuvaa nguo zilezile,unalala palepale unadhani zitaisha.ukianza kupaka dawa badili nguo au ufue na dawa ya fangasi
Doh! Kwa hiyo nikipaka dawa sitakiwi kulala kitanda nilicholala siku iliyopita?
 
Kuna Uzi uliwahi kutembea hapa kuwa unachukua septirin za buku unazisaga had ziwe unga..tumia chupa Kama ya bia kuzisaga..nunua mafuta ya babycare ya Mia..kichupa kidogo .changanya Kama mkrogo had vichangamanee Sanaa..paka Mara 2 kwa siku.

Nikipata ule Uzi nitauweka hapa..otherwise utapaka..getrison,Whitefield, candistant sijui..cromatizole sijui na udambwidambwi wooteee..ila hutapona..hata ukave boxer mpya kwa kila siku..

Na pumbu linawasha bwana...asikwambie MTU..kibaya zaidi litaanza toa harufu ya kiferiferi
Nausubiri kwa hamu kweli
 
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Pole sana mkuu kwa hiyo bado unawashwa[emoji86]
 
Pole sana, kausha kwa kutumia taulo linalofyonza maji vizuri..zile cotton..pia hiyo sehemu haitakiwi kuwa moist, baada ya kukausha vizuri ukishaoga unaweza kutumia powder ku-absorb any remaining moisture... pamoja na dawa utakazoshauriwa..tunajua there is no silver bullet, jaribu kila option huwezi jua ni ipi itakusaidia..
Labda niapply powder but hizo mambo zingine nafanya inavyotakikana
 
Pole Sana cha kwanza kabisa zingatia usafi wa nguo zako za ndani na usikae na nguo ya ndani kwa mda mrefu bila kubadilisha kingine Epuka kuvaa nguo za kubana pia kitaalam tunashauriwa kutumia nguo zenye asili ya panga ambazo zinaruhusu hewa kupita sehem za siri huwa hazipendi mazingira ya joto Sana fanya hivyo kama hali itaendelea hivyo unaweza kupiga namba hizi watakusaidia
0658521921 /0624073681
Afyayajamii92@gmail.com
Asante captain
 
Pole sana kwatatizo hilo nikweli kabisa ipo fangasi ya aina hiyo ninae ndugu yangu anamwaka wapili anasumbuliwa na tatizo hilo katumia dawa nyingi sana za hospital zakunywa za kupaka lakini bado anapona unarudi tena anakauka unarudi kwasasa kahamia kwenye dawa za asili.
 
Back
Top Bottom