Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Ana post instagram and Facebook, kwa kweli ananipa adha kubwa mno, alishaonywa mara moja akazifuta, kipindi hiki kaanza tena kwa kasi zaidi
Kuna picha alinipiga tukiwa wapenzi bila mm kujua, sio mbaya cuz tulikuwa ndani, sasa anapost zile alizoniotea bila mm kujua anapost na kuandika mara tapeli nk, kaleta purukushani ya kutosha kwenye ndoa yng, hivyo mm nimefikiria kutumia akili zaidi ku deal nae kuliko mabavu na ndio maana niko hapa nikiomba msaada wa kisheria kuwa hii imekaaje kwenye jicho la kisheria kwa kuzingatia sheria zetu za ndani.Hiviii kwelii unataka kutwambia umekosa cha kumfanya kabisa kabisaa mpakaa ufedheheke namna hiii? Mtu alishakuwa kituako jinsi yakumpata sidhan kama inakushinda nahis na Picha ulimtumia mwenyewe nakama anakupost sema anaandika caption za mahaba we unadata sababu umeoa na MKE na ndugu wamesanuka sasaa Kama hujuii taratibu zakufuataa. Tafuta zake nawewe post uandike madudu yako
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Nimeshazi-screen shot almost zote mkuu, nitapoteza muda wng kumshughulikia ipasavyo.Usicheke na kima mkuu nenda kamripoti polisi
Mfungulie mashtaka haraka
We unadhani Cyber Law ilitungwa kwa ajili ya vijana wa CHADEMA???
Hata kumtusi au kumdhalilisha mtu ni kosa la jinai na Lina hukumu....na Fidia ikiwezekana
Mshtaki ili akome ajue cyo kila mtu wa mchezo mchezo...
Kwanza hakikisha una piga Screenshot hizo post zote ili asije akafuta ukakosa utetezi..
Sent from my A706s Infinity using JamiiForums mobile app
Niliamua kumpuuza kwa muda mrefu sana lakini hakomi, mpaka nimefikia hatua hii ujue yamenishinda, shida yake ni kuiparaganyisha ndoa yangu kwa hali yoyote ile, kiukweli sio rahisi kuwaambia wakwe wam-block kirahisi hivyo.Mwambie mkeo aelewe, hao ndugu wa mke wako wamblock wasimfatilie, wewe mwenyewe mblock .Dawa ya Mjinga ni kumpuuzia tu. Mkikaa kimya bila kumjudge chochote ataacha.
kuna kitu kinaitwa Cybercrime nahisi ukienda polisi kesi yako itakuwa kwenye kitengo hicho.
Kwaiyo Kila Mhalifu Akisikilizwa Itakuaje??Unapokuja kulalamika. Kumbuka kwamba, pengine kuna kitu kibaya cha ulimfanyia cha kumuudhi, ongea nae, asipoelewa ndo umfungulie mashtaka.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo Kila Mhalifu Akisikilizwa Itakuaje??Unapokuja kulalamika. Kumbuka kwamba, pengine kuna kitu kibaya cha ulimfanyia cha kumuudhi, ongea nae, asipoelewa ndo umfungulie mashtaka.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Sametime mambo mengine hayahitaji nguvu. Yanahiyaji akiliKwaiyo Kila Mhalifu Akisikilizwa Itakuaje??
Uyo Anamchekea Tu. Piga Screenshot Izo Picha Kuonyesha Ni Yeye Anapost Then Peleka Kesi Polisi Au Mahakamani....As Simple As That.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
We were just dating for funny, and she knows that from the beginning, sasa ilipofikia point i don't want it anymore ndio mgogoro ulipoanzia hapo, nimevumilia maseke yake for more than a year, i can see she is crossing the borders right now.Unapokuja kulalamika. Kumbuka kwamba, pengine kuna kitu kibaya cha ulimfanyia cha kumuudhi, ongea nae, asipoelewa ndo umfungulie mashtaka.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Nimezi screen shot zote mkuu, nimeamua kumpa somo ktk namna atakayoielewa yeye kwasababu nilishamsihi sana aache, akawa anapost na kuzifuta, sasa kaamua kabisa kunidhalilisha.Kwaiyo Kila Mhalifu Akisikilizwa Itakuaje??
Uyo Anamchekea Tu. Piga Screenshot Izo Picha Kuonyesha Ni Yeye Anapost Then Peleka Kesi Polisi Au Mahakamani....As Simple As That.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Unamshutumu mwenzio wakati avatar yako ina picha ya Rais, kwamba ndiye aliyeandika hayo maneno machafu. Hivi ukikamatwa utasema umeonewa au kuwa yeye ndiye amekuruhusu kutumia picha yake na hayo maneno?picha mlipiga wote wakati wa mgegedo mkiwa mnafurahia... sasa unakuja kulialia hapa. pole sana