Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hahaha kama wakati unamla uliahidi kumuoa kisha ukampotezea ndo adhabu yako huyo anakupenda bado
Ana post instagram and Facebook, kwa kweli ananipa adha kubwa mno, alishaonywa mara moja akazifuta, kipindi hiki kaanza tena kwa kasi zaidi