Msaada wenu ndugu zangu

Msaada wenu ndugu zangu

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
Naomba kwa yeyote mwenye mawasliano ya moja kwa moja loyola high school iliopo mabibo farasi iwe ni mwalimu mkuu,mwl wa kawaida au hata mwanafunzi pia hata akijitokeza mwanafunzi wa pale nimuulize vitu muhimu kuhusiana na hiyo shule ahsante!
 
naomba kwa yeyote mwenye mawasliano ya moja kwa moja loyola high school iliopo mabibo farasi iwe ni mwalimu mkuu,mwl wa kawaida au hata mwanafunzi pia hata akijitokeza mwanafunzi wa pale nimuulize vitu muhimu kuhusiana na hiyo shule ahsante!

uliza kijana
 
ningeweza kukutukana sana lakini sito fanya hivo, jua hili nijukwaa la elimu pia kama ulitaka kulala ungelala tu mkuu sioni connection yoyote yangu mimi na usingizi wako... mungu akubariki

Msamehe mkuu watu bado wana hangover za pombe za mwaka mpya...ukichanganya na stress za kodi za pango si unajua mwanzo wa mwaka kodi ziko ukingoni.....majibu kama haya hayaepukiki....msamehe bure sio amri yake...naamini hata yeye mwenyewe nafsi yake inamsuta...
 
Ww vipi ww siunde huko mabibo au unadharula watu wengine

wewe unaonekana umekurupuka hata chooni wewe utakuwa unavaa suruali kabla ya kumaliza haja hiyo kwa mwanaume mbaya sana halafu itakucost kucoment kwa mkumbo vitu usivovijua unapiga kimya halafu unasoma post za wenzako wanaojuamambo kenge wewe sikuachi kwasababu unaigaiga mambo..

Unadhani mimi sipendi kwenda moja kwa moja pale au hii forum unadhani kaziyake kuto...ngo..zania uwe mwelewa nipo mbali thats why nauliza kwawanao jua kupitia hii forum... lione kwanza
 
uliza kijana

kwanza nikupongeze kwa kutonicrash.. nihivi mm nahitaj kusoma pale hivyo nlikuwa nauliza mambo madogo tu muhimu ambayo ni ada kwa hostel na intake ipoje yani namna gani naweza kujiunga,shukran.
 
wewe unaonekana umekurupuka hata chooni wewe utakuwa unavaa suruali kabla ya kumaliza haja hiyo kwa mwanaume mbaya sana halafu itakucost kucoment kwa mkumbo vitu usivovijua unapiga kimya halafu unasoma post za wenzako wanaojuamambo kenge wewe sikuachi kwasababu unaigaiga mambo..

unadhani mimi sipendi kwenda moja kwa moja pale au hii forum unadhani kaziyake kuto...ngo..zania uwe mwelewa nipo mbali thats why nauliza kwawanao jua kupitia hii forum... lione kwanza

Kumbe unajua kusema km uko mbali haya chukua bas mawasiliano km mpigaji +255 (22) 2400054 / +255 (22) 2443311 / +255 (22)
2400081 mbululaa kasoro kia ndo umenipakazia sio poa tuu pata ww leo
 
kwanza nikupongeze kwa kutonicrash.. nihivi mm nahitaj kusoma pale hivyo nlikuwa nauliza mambo madogo tu muhimu ambayo ni ada kwa hostel na intake ipoje yani namna gani naweza kujiunga,shukran.

safi, me naishi jirani na shule hii, kwanza haina hostel, wanafunzi wanakaa hostel binafsi, pili swala la ada labda nikuulizie halafu nkupe jibu kamili.
 
Back
Top Bottom