Mwamba Ila milioni ni pesa ndefu sana aseeWanajamii habarini naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege naombeni ushauri wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini cjui anadawa 🥺
haah serious.....?Nitumie picha yake PM mm nitamtumia hiyo 1M aje kwako.
Na nishajua kumbe na kwako kaja?tapeli huyo danga la mjiniWanajamii habarini naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege naombeni ushauri wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini cjui anadawa [emoji3064]
Hata Mimi nahisi hivyo lakini cjui anadawa Kama unajua mbinu za Mimi kujiondoa nisaidie mkuu
Nan kakuambia hapa jukwaan ma she hawatoi mzigo kwa kufikia bei?ila tuma tu ila utakua umenunua wale wa VIP maana c kwa hilo promo unalompa😂 Mkuu cmtaji public ni famous sana hapa JF
Mkuu bahati ya mtende usiilazie damu mtumie,kuna watu ni platinum member humu hawajahi kupewa hata kaka habari.Wanajamii habarini naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege naombeni ushauri wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini cjui anadawa 🥺
Kwahio badala ya kunitumia hio hela umekuja kulia lia huku JamiiForums. Tena kwenye hio million ya nauli uongeze laki mbili ya kula njiani.Mkuu Niko serious sio chai cwezi singizia uongo ili nipate nn ila nahitaji waliowahi kutana nae labda wanachakunishauri
Naona unaforce nimtaje ila kuwa mpole Leo nakamilisha kila kitu hela namtumia mchana huu akizingua tuu kaa mkao wa kumjua na ana ID 7 hpa JF zote za kike nitamwanika na popote alipo hatokaa kwa Amani maisha yke yote mpaka arudishe hela yanguHii chai tu
Jamaa anawazingua
Halafu asisahu kumtumia na ya kutoleaWe bwege unamwelezea mwenzio utazani mlikuwa wote pm si umtajie jinaurahsishe mambo
Hawa wakutuma nauli mbona sisi hatutumiwiMtag Dawa zitaisha