Msaada wenu unahitajika haraka sana

Msaada wenu unahitajika haraka sana

Wanajamii habarini naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege naombeni ushauri wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini cjui anadawa 🥺
Mwamba Ila milioni ni pesa ndefu sana asee
 
Mmh kitakukuta kitu sasa hivi, ila from nowhere tu anasema anakupenda? Au kuna matukio hujayaweka wazi hapa. Mmekubaliana huko ukalegea unakuja kuexpose huku fyuu
 
Wanajamii habarini naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege naombeni ushauri wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini cjui anadawa [emoji3064]
Na nishajua kumbe na kwako kaja?tapeli huyo danga la mjini
 
Wanajamii habarini naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege naombeni ushauri wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini cjui anadawa 🥺
Mkuu bahati ya mtende usiilazie damu mtumie,kuna watu ni platinum member humu hawajahi kupewa hata kaka habari.
 
Mkuu Niko serious sio chai cwezi singizia uongo ili nipate nn ila nahitaji waliowahi kutana nae labda wanachakunishauri
Kwahio badala ya kunitumia hio hela umekuja kulia lia huku JamiiForums. Tena kwenye hio million ya nauli uongeze laki mbili ya kula njiani.
 
Kwahio badala ya kunitumia hio hela umekuja kulia lia huku JamiiForums. Tena kwenye hio million ya nauli uongeze laki mbili ya kula njiani.
Mkuu unajua kuzoom 😳
 
Hii chai tu

Jamaa anawazingua
Naona unaforce nimtaje ila kuwa mpole Leo nakamilisha kila kitu hela namtumia mchana huu akizingua tuu kaa mkao wa kumjua na ana ID 7 hpa JF zote za kike nitamwanika na popote alipo hatokaa kwa Amani maisha yke yote mpaka arudishe hela yangu
 
Back
Top Bottom