BM MJUKUU
Member
- Nov 30, 2013
- 33
- 3
jaman ndugu zangu wa jf habari zenu,nahitaji msaada wenu wa mawazo kwa hili,mimi nimehitimu chuo cha ualimu grade (a) mei mwaka jana.na hivi majuzi nimefanya interview ya jkt na nimefuzu pia mmoja wa wasaili alinifuata akaniambia nijiandae mwezi wa tatu kwenda kuripoti ktkka kambi nitakayopangiwa kwa sababu cheti changu na kizuri sasa nashindwa nishike kipi niache kipi vyote navipenda ukiachilia mbali post zimekaribia na muda wa kwenda jkt umekaribia nimishindwa niamue kipi ambacho kitanifaa katika maisha yangu ya leo na kesho nahitaji msaada wenu sana