msaada wenu unahitajika haraka

msaada wenu unahitajika haraka

BM MJUKUU

Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
33
Reaction score
3
jaman ndugu zangu wa jf habari zenu,nahitaji msaada wenu wa mawazo kwa hili,mimi nimehitimu chuo cha ualimu grade (a) mei mwaka jana.na hivi majuzi nimefanya interview ya jkt na nimefuzu pia mmoja wa wasaili alinifuata akaniambia nijiandae mwezi wa tatu kwenda kuripoti ktkka kambi nitakayopangiwa kwa sababu cheti changu na kizuri sasa nashindwa nishike kipi niache kipi vyote navipenda ukiachilia mbali post zimekaribia na muda wa kwenda jkt umekaribia nimishindwa niamue kipi ambacho kitanifaa katika maisha yangu ya leo na kesho nahitaji msaada wenu sana
 
Hivi ukiwa mwanajeshi wa jkt huwezi kuwa mwalimu? hapa namaanisha wahitimu wa jkt hawapewi majukumu kutokana na profession?
kama professions hazifuatwi jkt, nakushauri ubaki na ualimu wako .
 
asante kwa ushauri wako bro,ila nilihitaji kujua kipi ni bora kwangu
 
Back
Top Bottom