Msaada wenu wa kimawazo unahitajika sana

You are a nice guy and you are dating a woman whom you feel she has more value than you. Do you love her, she is submissive to you, is she treating like alternative after miss her priorities?. After have answers of those questions then make a decision
 
Muoe huyo ndio wako, hayo mengine ni vitu vidogo sana
 
Apo shida ni huo utwiga wake tu ila ulijua huna mpango na mwoga sana wewe mara kakuzidi urefu sijui hela na ukaendelea NAE mpaka mimba ya nini? Ndo maana mfupi , raha ya mwanamke umzdi urefu lakini wewe ushampa mimba kubali matokeo wewe
 
Vipi kitandani anarendemka??
 
Urefu 5:8 huyu ni MTU mrefu sio mfupi
So this is not an issue.

Familia yake kuwa tajiri na wewe kuwa masikini .

Swali je familia yao ni tajiri kwenye nini?
Na wewe ni masikini wa nini ? HELA au AKILI?

Kuhusu kukataa kumuoa - hiyo sio issue Ila issue ni kumpa mimba na kukataa kumuoa.


Kwenye umri Una 32 yeye Ana 26 umri upo sahihi Ila mambo unayoandika hayafanani na umri wako.

Nini ufanye
Jitahidi kutumia Akili na sio hisia kuwa logically

Hakikisha unajitambua na unaachana na utoto wa kumtazama MTU kupitia nje . urefu au fupi haya ni maumbile na hayana uhusiano na tabia za MTU au personality or attitude
 
She is truly loves me
 
Sikiliza instincts zako Mzee lakini kumbuka Kuna mstari mwembamba unaotenganisha instincts na hofu, so be carefully.
 
Wewe unampenda? Muoe huyo anayekupenda ndo hatokusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…