The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
- Thread starter
- #21
AsanteWatu wafupi mnakuaga na inferiority complex kwa kiwango cha juu sana.....
Pole ba kijacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteWatu wafupi mnakuaga na inferiority complex kwa kiwango cha juu sana.....
Pole ba kijacho
You are a nice guy and you are dating a woman whom you feel she has more value than you. Do you love her, she is submissive to you, is she treating like alternative after miss her priorities?. After have answers of those questions then make a decisionKwema wakuu
Mimi nina mwanamke ananipenda saana yaana sana mimi nakosa Amani kuwa nae kwa sababu kuu
2
Kwanza ni mirefu sana kanizidi mbali she almost 6.3 and I am 5.8
Na pia kwao ni maisha mazuri sana kuliko sisi.
Kuna kipindi nilimuambia tuachane akaniuliza sababu nikamuambia akakubali kishingo upande ila baada ya siku 3 Akaanza tena ku nitafuta huku akili sana akidai amejaribu ameshindwa mwisho wa siku nikamuonea huruma nikamrudia
Sababu ya kuu andika huu uzi
Ni amebeba mimba yangu alafu mimi siwezi muoa kabisa na nimeshamuambia hvo ila anasema ni sawa tuu nilimuacha analia anakua mnyonge and she almost 26 and me 32 niko dilemma aisee vp ulishawahi data na mwanamke aliyekuzidi kila kitu? Pesa, kimo vp uliwezaje kuishi nae? .
Muoe huyo ndio wako, hayo mengine ni vitu vidogo sanaKwema wakuu

Huyo kua nae, wengine huku akikuzidi hela dharau zinakua zakumwaga kama anakuheshimu ulivo mtunzeKuhusu hali yangu hana shida kabisaa
Vipi kitandani anarendemka??Kwema wakuu
Mimi nina mwanamke ananipenda saana yaana sana mimi nakosa Amani kuwa nae kwa sababu kuu
2
Kwanza ni mirefu sana kanizidi mbali she almost 6.3 and I am 5.8
Na pia kwao ni maisha mazuri sana kuliko sisi.
Kuna kipindi nilimuambia tuachane akaniuliza sababu nikamuambia akakubali kishingo upande ila baada ya siku 3 Akaanza tena ku nitafuta huku akili sana akidai amejaribu ameshindwa mwisho wa siku nikamuonea huruma nikamrudia
Sababu ya kuu andika huu uzi
Ni amebeba mimba yangu alafu mimi siwezi muoa kabisa na nimeshamuambia hvo ila anasema ni sawa tuu nilimuacha analia anakua mnyonge and she almost 26 and me 32 niko dilemma aisee vp ulishawahi data na mwanamke aliyekuzidi kila kitu? Pesa, kimo vp uliwezaje kuishi nae? .
Akikasirika anaweza kukupiga makonzi tu ukaisi ni mawe yanarushwa..Kama mwanamke kakuzidi urefu hiyo ni dharau kubwa sana
She is truly loves meYou are a nice guy and you are dating a woman whom you feel she has more value than you. Do you love her, she is submissive to you, is she treating like alternative after miss her priorities?. After have answers of those questions then make a decision
But 5.8 sio mfupi huyo.Watu wafupi mnakuaga na inferiority complex kwa kiwango cha juu sana.....
Pole ba kijacho
Huyo demu wako ni mmasai namjua.She is truly loves me
Wewe unampenda? Muoe huyo anayekupenda ndo hatokusumbua.Kwema wakuu
Mimi nina mwanamke ananipenda saana yaana sana mimi nakosa Amani kuwa nae kwa sababu kuu
2
Kwanza ni mirefu sana kanizidi mbali she almost 6.3 and I am 5.8
Na pia kwao ni maisha mazuri sana kuliko sisi.
Kuna kipindi nilimuambia tuachane akaniuliza sababu nikamuambia akakubali kishingo upande ila baada ya siku 3 Akaanza tena ku nitafuta huku akili sana akidai amejaribu ameshindwa mwisho wa siku nikamuonea huruma nikamrudia
Sababu ya kuu andika huu uzi
Ni amebeba mimba yangu alafu mimi siwezi muoa kabisa na nimeshamuambia hvo ila anasema ni sawa tuu nilimuacha analia anakua mnyonge and she almost 26 and me 32 niko dilemma aisee vp ulishawahi data na mwanamke aliyekuzidi kila kitu? Pesa, kimo vp uliwezaje kuishi nae? .
Uko wapi..Watu wafupi mnakuaga na inferiority complex kwa kiwango cha juu sana.....
Pole ba kijacho