Msaada wenu wa mawazo tafadhali, Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda

Msaada wenu wa mawazo tafadhali, Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda

Ahahaha pole sana mwaya hata hvyo una moyo Mimi nisingeweza aise nshazoea nikiumwa nideke kwa bby anifulie hadi nguo na kunipikia sasa hapo akifanya tu hivyo wakimuona utaambiwa umemloga wakati anafanya kwa mapenzi
Hapa anapaona kwake kwasababu nyumba amejenga yeye lakini tunaishi na familia yake yote hata madada walioolewa wamo ndani na waume zao.
 
Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.

Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.
Mrejesho
 
Back
Top Bottom