Msaada wenu Wakuu, baba yangu hataki kunilipa deni langu

Msaada wenu Wakuu, baba yangu hataki kunilipa deni langu

kikoozi, Ivi umelogwa au akili yako mzaz wako kakuhangaikia tangu ukiwa mtoto mdogo hadi leo unakuja kumdai sh lak9 na sisi wengne tuliojengea wazaz wetu majumba ya mamilion tunaenda kuadai wap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@kikoozi,aisee doctor nimepigika xana,hebu niazime elfu 50 ntakurejeshea salary ikitoka pls


Sorry naomba uniazime 50 then ntakurefund.. Nna shida plz.

Me nimekwama,niazme hamsin basi niweke Jambo langu Fulani sawa natkurudishia tarehe ishirini na tatu inshallah.

Hizo ni sms za ndugu 3 tofauti waliniomba niwakopeshe mwaka jana wakidai watanilipa ila hadi sasa hawajanilipa hata mmoja na mimi siwadai.

Kuna watu(wazazi, ndugu n.k) huwa hawakopeshwi, ila wanapewa. Akikurudishia ni sawa, asipokurudishia ni sawa pia.

Kwa yule atakayekurudishia, maamuzi ya kupokea yatakuwa juu yako, ama umwambie hiyo hela baki nayo au kama na wewe hali sio nzuri basi utaipokea ili usolve mambo yako.

Kama kipato chako kipo vizuri haina haja ya kuwakomalia ndugu kuwadai hela uliyowapa, toa tu kuwasaidia.

Kuna baadhi ya ndugu wanakuwa na tabia ya kuwakopa wenzio hela wakidai watawarudishia ila hawarudishi jambo ambalo linakuwa ni kero kwani anakuwa na tabia ya kuomba/kukopa mara kwa mara.

Mimi nikikopa(huwa naanza kukopa kwa watu wa karibu(ndugu)) huwa nawarudishia kulingana na jinsi nitakavyoahidi. Hadi hapo moyo wangu utakuwa na amani kwani sipendi kudaiwa mara kwa mara, ni kero sana.

Mkuu usihangaike kumdai mzee hiyo hela ila muombe tu hela akuwezeshe ili ukaanze life lako, hapo hawezi kukataa kukupa na akikupa hata kidogo wewe unaweza kuihesabu kama kakulipa lile deni ulilokuwa unamdai
 
Wengi wetu tunamshambulia kikoozi kwa hisia tu, kimsingi ni kama dingi alijipatia pesa hizo kwa njia ya mkopo anapaswa kulipa tu.... suala la gharama za malezi sio kisingizio kwa vile alitimiza jukumu lake kama mzazi.

Dingi aache dhulma na dogo hakuomba kuzaliwa naye hivyo kulelewa ni haki yake, deni ni lazima kulipwa kusamehe ni ridhaa ya mdai.... kakuzaa kwa mapenzi yake hivyo anawajibika kukulea na siku akifa mirathi asijisahaulishe.
 
Ivi umelogwa au akili yako mzaz wako kakuhangaikia tangu ukiwa mtoto mdogo hadi leo unakuja kumdai sh lak9 na sisi wengne tuliojengea wazaz wetu majumba ya mamilion tunaenda kuadai wap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Uliwajengea kwa utashi wako, huyu mzazi kakopa.... dawa ya deni ni kulipa.
 
Unaanzaje kudaiana na mzazi wako? Wazazi hawakopeshwi Bali wanasaidiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Angesema hivyo alipoomba hiyo hela kuwa anaombwa asaidiwe Lakini kusingizia kukopa Wakati Hana mpango wa kulipa huo Ni utapeli anatakiwa kuburuzwa mahakamani kukomesha utapeli wa wazazi kutapeli watoto Tena katapeli mwanafunzi aibu zee hovyo Sana hilo
 
Wewe mtoto una laana....na possibly ndo inakufanya hadi kwa umri huo uwe kwenu.... Nakuhakikishia hata akikupa hiyo hela itapeperuka na utarudi kwake uanze kutia huruma.... Cha kufanya patana nae usamehe hilo deni uingie kitaa.... Mbona wengine tumeingia kitaa bilabila ila mpaka sasa,Maisha 0,Mimi 3...Na hata sijafikia huo umri wako bado...
 
Ushauri mzuri sana, na umenisaidia, niliondoka nyumbani week 1 baada ya kumaliza chuo na sasa mambo yamenyooka.
Niliamini baraka zimejificha mbali huko tena mkoa tofauti nikazifuata.
Usijisumbue kudai hiyo hela hata kama alikukopa... 32 and still upo nyumbani, mzee!!! Fanya kitu, toka hapo usije ukazalia watoto uko hapo. Toka hapo, rizki yako ipo mtaani wewe umekaa nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemkosea adabu sana baba yako, wewe akikwambia umlipe kwa gharama alizotumia kukulea unaweza?
Fanya mambo mengine hiyo hela fanya kama umempa tuu Mzee wako.
Ametumia gia ya kukurudishia kwa sababu anafahamu amekwambia kawaida usinge mpa.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom