Akijibu hili ndio mwanzo wa kumpa msaada mkuu.Unawaza nin??? Nini kinakupa mawazo je Ni maisha...mapenzi...pesa?? Masomo??
maisha yamekufanyaje?Maisha
Maisha
Maisha unayawaza kwa sababu ipi?Maisha
Maisha
Wakuu,
Heshima kwenu
Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,
Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi
Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi

Kula BIRINGANYA kwa wingi, utapata usingizi.Wakuu,
Heshima kwenu
Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,
Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi
Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
Usiku wakati wa kulala chukua maziwa fresh ya uvuguvugu kikombe kimoja na vijiko viwili vya asali mbichi (nyuki wadogo au wakubwa) changanya kunywa ......usinywe asubuhi utasinzia saanaWakuu,
Heshima kwenu
Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,
Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi
Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
Unapoenda kulala weka mawazo yako yte kwny pumzi, jitahid kufokas kweny pumzi..dk 10 ushalala fofofoWakuu,
Heshima kwenu
Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,
Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi
Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
Sasa ndugu kama ushajua mawazo ndio chanzo cha wewe kukosa usingizi kwa nini usipambane kuyaondoa kwanza mawazo?Wakuu,