Msaada wenu wakuu, nakosa usingizi

Msaada wenu wakuu, nakosa usingizi

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Wakuu,
Heshima kwenu

Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,

Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi

Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
 
Unawaza nin??? Nini kinakupa mawazo je Ni maisha...mapenzi...pesa?? Masomo??
 
Pole sana boss.

Mwezi uliopita nilikwa na mawazo sana. Hii ilinipelekea kuwaza sana. Sikuwa na shida ya pesa. Ila ni mambo yangu fulani.

Nimejifunza ku take easy in everything. Now nipo poa sana nalala ma naamka vizuri tuu.

Sio kila jambo uchukulie serious. Baadha ya mambo yaone mepesi tuu. Hii italisaidia sana kukaa bila mawazo yoyote.

Pole sana boss. Maisha ndo jinsi yalivyo
 
Kila siku saa 12 jion uwe unameza pritoni utakuwa mwisho wa tatizo lako
Wakuu,
Heshima kwenu

Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,

Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi

Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
 
Tatzo Pesa mkuuu...!! Sometimes stress na deprrssion are not really tatzo pesa...
 
Mpenzi huna?
Wakuu,
Heshima kwenu

Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,

Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi

Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
 
Wakuu,
Heshima kwenu

Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,

Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi

Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
Kula BIRINGANYA kwa wingi, utapata usingizi.
 
Wakuu,
Heshima kwenu

Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,

Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi

Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
Usiku wakati wa kulala chukua maziwa fresh ya uvuguvugu kikombe kimoja na vijiko viwili vya asali mbichi (nyuki wadogo au wakubwa) changanya kunywa ......usinywe asubuhi utasinzia saana
 
Wakuu,
Heshima kwenu

Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,

Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi

Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
Unapoenda kulala weka mawazo yako yte kwny pumzi, jitahid kufokas kweny pumzi..dk 10 ushalala fofofo
Cc mshana jr
 
Fanya mazoezi mazito ya kuchosha mwili utajisikia uchovu na utalala vema bila shida!
 
Sasa unafahamu kabisa kuwa kinacho kufanya usilale ni mawazo,unahitaji msaada upi sasa ili ulale!!!!
Kama hoja ya chakula wewe jishindilie tu makande na maji kwa wingi utalala fasta tu[emoji1321]‍♂️
 
  • Thanks
Reactions: usy
Wakuu,
Heshima kwenu

Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,

Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza hamu ya usingizi

Kwa anaefahamu aniambie nateseka serious wakuu,
Nawazo yananinyima usingizi
Sasa ndugu kama ushajua mawazo ndio chanzo cha wewe kukosa usingizi kwa nini usipambane kuyaondoa kwanza mawazo?
 
Back
Top Bottom