Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Ahhh sijasoma mpaka mwisho ila huyo mchepuko ana mambo mengi kumzidi hata mama j wa Mzee DeepPond ni kama amekufanya wewe ni kibatari ( taa ndogo za zamani zinazotumia mafuta ya taa) anakuwasha na kukuzima muda wowote atakao.

Kuwa kifikra kuzaasio sababu em Kaa kwa kutulia muache utaumia lakin utapona na maisha yataendelea,, sio vyema mwanaume kuwa kama ndezi buana
 
Tunataka ufe tupate habari za kuweka YouTube nasi tupate pesa.

Mkuu ni unaongozwa na mwili sio akili. Tumia akili zako kufanya maamuzi
 
Acha kuhangaika, Kaa na mkeo, inaonekana hujatulia, mkuu, huyo zilipendwa achana naye. We tunza mtoto tu.
 
Madem wa mpira wana tabia 2...na ni kila dem...no tabia zipo tatu...!
1.ni malaya sana..mno na wanawatarget wachezaji
2.wanasafiri sana na huko wakiwa safarini na timu....hufanya sana ushirikina...!
3.wana njaa kali ya umaarufu...yaani humwambii chochote hapo.....

Unganisha dots bro....halafu maamuzi fanya mwenyewe!
 
Yaani siku hizi na wanaume mmekuwa kama wanawake tabia za kujinunisha hovyo na kublock wenzenu kwa vitu vinavyozungumzika ili tu mbembelezwe
Tubembelezeni tu si mlitoka ubavuni kwetu?
🤣🤣

wanaojikuta feminist, wanakutana na Alpha Male
 
Mkuu baki njia kuu, michepuko hao anawaweza DeepPond tu, usijipe stress au na wee anza kucheza mpira na kufuga vi dread kama mayele 😂

footballers wana stamina sana asee 🤔
 
1 na 3 naziona kama zina apply kwa huyu mtu wangu. Ana shobo hatari na watu maarufu.
 
Kuna kaka nilikaa nae siti moja alipandia Singida akashuka Dodoma bus la kutoka Mwanza kuja Dar week hii, alikuwa naongea na simu na mtu wake kwamba usipokuja week hii itakuwa mwisho wetu. Ndio wewe nini mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kaka nilikaa nae siti moja alipandia Singida akashuka Dodoma bus la kutoka Mwanza kuja Dar week hii, alikuwa naongea na simu na mtu wake kwamba usipokuja week hii itakuwa mwisho wetu. Ndio wewe nini mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mimi mkuu. Basi mwanamke mwenzio hajaja. Naomba ushauri.
 
Achana na kivuruge uyo jitaid ukate mawasiliano moja kwa moja pia hilo litawezekana kama utarudisha moyo wako kwa Sir God..Wekeza moyo wako kwa mke wako na watoto wako huyo mwanamke ni malaya na itakutafuna kwa kosa ulilofanya sjui mke wako anachkuliaje ilo swala
 
Mpe likizo maisha yatampiga atarudi kwako atatulia.

Kifupi umezaa na mtoto mdogo ambaye akili zake hazijakomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…