Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Mwanamke yoyte akishaona kakufanyia Jambo la kipumbavu mkagombana afu ukamsamehe anaona tayar wee Ni zoba wake.

Baada ya Hapa anachokufanya Ni kumanipulate tu akili yako kila anapojiskia.

Anaku-frustrate makusudi mgombane afu atakuja kukuomba msamaha very simpo anapojiskia anakuhitaji na anaamini mtarudiana tu.

Dawa yake Ni kwenda nae ki-TALEBAN
Akiweka ya shingo, ww unaweka ya ROHO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu mzazi mwenzangu hatujawahi kuwa na stable relationship kwa muda mrefu. Furaha yetu imedumu sana labda mwezi mmoja lakini throughout ya mahusiano yetu ni migogoro tu, hakuna amani kabisa.
Kwa hii quotation unaendeleaje kumpenda? Utaishi naye vipi hata ukiamua kumuoa?

Sio kwamba anakufanyia vitimbi kwa sababu ulimwacha ukaoa mwingine? Na kwa kuwa bado una mfata fatafata nayeye anaona alipize humo humo.
Huenda ukimuoa atatulia lakini je huko nje hana vidumu?

Unadhani inawezekana mwanamke umzalishe umwache wewe uoe yeye akae hivi hivi akikusubiri?

Fikiria sana chagua moja.
 
Mkuu Matola Alianza vyema ila hakumalizia.

We kinachokusumbua ni roho. Umevikwa roho na unapaswa kuivua hiyo roho ama kuikataa kwa imani yako.

KItendo cha kukiri udhaifu wa mtu na still upo nae na unatamani kumuoa si akili yako hata kidogo. Nafahamu utabisha ila hiyo si akili yako. Ila hiyo roho ilokuvaa ndo inakuendesha pia kunauwezekano ushatengenezwa.

Chakufanya kwa imani yako fanya maombi na epukana na mazingira yote yanayokufanya unakuwa karibu na huyo mwanamke pia jua hakutakii mema maana anajua uko na maisha yako ila anataka uharibikiwe uwe nae ila hamuwezi kuishi

Mkuu ushavaa roho na usipoikataa itakuharibia huku uliko wekeza
 
MDA si mrefu Hapa nmetoka kuzinguana na mchepuko wangu mamaJ.

Mida ya saa 9 Tulkua tunachat,
Uchovu wa kutoka kazin Baada ya kufka home nikapitiwa na usngz.

Nikaja kustuka ni saa 12 mbio mbio nikaenda kuchek WORLD CUP bar mechi ishafk dkk ya 17.

MDA wote wa mechi Niko live in play natandaza mikeka na kukagua mikeka yangu inavochanika roho iko juu juu MDA wote.

Baada ya mechi ikabd nimchek tupige stories, ghafla mwanamke kaanza kujitia ujuaji mbuzi na kuleta kisirani mbuzi.

Ikabd nimuwakie mbovu mbovu mpk kaamua kuzima sim yake mwnyw.

Screenshot_20221218-234608.jpg
Screenshot_20221218-234636.jpg
Screenshot_20221218-234728.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke yoyte akishaona kakufanyia Jambo la kipumbavu mkagombana afu ukamsamehe anaona tayar wee Ni zoba wake.

Baada ya Hapa anachokufanya Ni kumanipulate tu akili yako kila anapojiskia.

Dawa yake Ni kwenda nae ki-TALEBAN
Akiweka ya shingo, ww unaweka ya ROHO

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika mawazo yangu kabisa 100%
 
Mwanamke yoyte akishaona kakufanyia Jambo la kipumbavu mkagombana afu ukamsamehe anaona tayar wee Ni zoba wake.

Baada ya Hapa anachokufanya Ni kumanipulate tu akili yako kila anapojiskia.

Dawa yake Ni kwenda nae ki-TALEBAN
Akiweka ya shingo, ww unaweka ya ROHO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo yenyewe Kuna demu mmoja naenda naye sana hii mwenyewe anajirudishaga nacheketua namcheki akileta hizo Tena mie cool tu najua anaruka ruka ataileta tu na akiieleta anarudigi kwa discipline sana [emoji23][emoji23] mana huwa anakutana na jibwa jingine huko nahisi Hadi anaona Bora jibwa mie mana si wanasema wanaume wote mbwa tu
 
Swali dogo. Ina maana miaka yote hiyo hajapata mtu wa kueleweka? Kama miaka yote hajaweza kupata mtu wa kueleweka kipi kitabadirika ili apate?
Kwasasa amekua huyo ,bila shaka aliwapanga sana,na sasa lazima anatamani kutulia na mtu wake ,chunguza kwenye list yake utakuta kuna mwamba amemuelewa na anatarajia kubeba jumla.Mpe mwaka tu utaleta mrejesho .Labda umchukue kama mke wa pili na iwe rasmi kabla hujawahiwa
 
MDA si mrefu Hapa nmetoka kuzinguana na mchepuko wangu mamaJ.

Mida ya saa 9 Tulkua tunachat,
Uchovu wa kutoka kazin Baada ya kufka home nikapitiwa na usngz.

Nikaja kustuka ni saa 12 mbio mbio nikaenda kuchek WORLD CUP bar mechi ishafk dkk ya 17.

MDA wote wa mechi Niko live in play natandaza mikeka na kukagua mikeka yangu inavochanika roho iko juu juu MDA wote.

Baada ya mechi ikabd nimchek tupige stories, ghafla mwanamke kaanza kujitia ujuaji mbuzi na kuleta kisirani mbuzi.

Ikabd nimuwakie mbovu mbovu mpk kaamua kuzima sim yake mwnyw.

View attachment 2451284View attachment 2451285View attachment 2451287

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisirani cha mavi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama umeshafanya maamuzi uko apa kutafuta justification za kuendelea na mzazi mwenzako
 
MDA si mrefu Hapa nmetoka kuzinguana na mchepuko wangu mamaJ.

Mida ya saa 9 Tulkua tunachat,
Uchovu wa kutoka kazin Baada ya kufka home nikapitiwa na usngz.

Nikaja kustuka ni saa 12 mbio mbio nikaenda kuchek WORLD CUP bar mechi ishafk dkk ya 17.

MDA wote wa mechi Niko live in play natandaza mikeka na kukagua mikeka yangu inavochanika roho iko juu juu MDA wote.

Baada ya mechi ikabd nimchek tupige stories, ghafla mwanamke kaanza kujitia ujuaji mbuzi na kuleta kisirani mbuzi.

Ikabd nimuwakie mbovu mbovu mpk kaamua kuzima sim yake mwnyw.

View attachment 2451284View attachment 2451285View attachment 2451287

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aisee "usipende kujipa umuhimu usiokuwa nao katika maisha yangu". Mimi msomaji tuu nimeumia na hayo maneno sipati picha mhusika amefeel vipi nimemuonea huruma sana.

Wanawake jamani unapokuwa mchepuko unadharaulika sana ni bora kuwa single tuu[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona naona kama umeshikwa akili hivi au labda dish limeyumba?

Una mke wa ndoa, na una mwanamke uliyezaa naye mtoto kabla ya yule wa ndoa...

Lakini akili yako inapelekeshwa na huyo uliyezaa naye na mmejiachia kama wanandoa vile...

Shubamittti
Imebidi nicheke...kwamba yawezekana jamaa dish limeyumba!!!???[emoji1787]
 
Swali dogo. Ina maana miaka yote hiyo hajapata mtu wa kueleweka? Kama miaka yote hajaweza kupata mtu wa kueleweka kipi kitabadirika ili apate?
Malaya anapataje mtu wa kueleweka? Anatongoza wachezaji atapataje?
 
Siku zote chagua moja sio kupenda kuwa na vyote.

Kwanza inaonyesha una tamaa mwanaume anayejitambua hawezi kuwa na familia mbili !!!

Chagua kuwa na mke mmoja au labda Kama wewe ni muislamu sawa

Lakini mapenzi hayawezi kuwa kwa watu wawili iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume juu ndio ukweli mchungu!!
Unamshauri amtelekeze mtoto aliyezaa na mchepuko au!? Maana kuachana na mchepuko kutaambatana na kupoteza mawasiliano na mtoto.
 
Back
Top Bottom