Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Unazngua mkuu, wew umeoa sasa alafu unatak akupe antetion 100%

Wew kaz yako kuhudumia mtoto either na kupasha kiporo ,punguza matarajio juu yake acha upuuz wa kumfatilia kama mkeo , kaa kausha hakikish yeye akikutafuta kuw active asipokuchek achana nae


Kumbuku kabla ya uponanyi lazma uptie maumivu usijarbu kuepuka pain its part of healing

Wishing you the best
 
Mwanamke alie zalishwa humpgania baba wa mtoto ila kama wew unampgiania uliemzalia huna maan mkuu

At least ingekuw 50/50
 
Back
Top Bottom