Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Wakati wenzako wanatumia nguvu za ujana wao kuwekeza mali na kununia mashamba wewe uko bize na mbunye za watu. Harafu ukizeeka uanze kuilaum serikali.

Wewe dogo kweli una akili?

Inaonekana wewe ni mazaramo, mndengereko au kabila lolote la asili ya pwani.

Yaani mwanmke anakufanya umekuwa mtumwa? Harafu dogo hujawahi kuwa na wanawake wazuri huyo anakuzuzua sana.

Unapata kazi hata mwaka bado ushahamishia michepuko? Dogo nakuonea huruma sana.
Watu wa pwani watoe kabisaa kwenyebujinga wa huyu kenge unajua hakuna watu wanajua kuish na wanawake kama wanaume wa pwani hawana mambo mengi hasa mwanamke akizingua nimeshaishi nao sana mtaani mpka nasema sisi wa bara ukizingua hvo dah inakua stor nyingine.

Tatizo la huyu bwege ni ushamba wa mapenzi alaf kufuatilia mambo yasio muhusu ushajua dem anajitongozesha na ww si umuweke pembeni. Mtu ana mke anataka kujidai kadata na kidem ambapo mke akija kuanza zingua atamlaumu kuwa wanawake wanazingua ma fakeni kama hawa mm siwakubali wala nn wanaaibisha taasisi ya uanaume
 
Miaka 6 mbona kidogo

Mimi nina pasua kichwa wangu mwaka wa 20 huu ni stop-start-stop-start.

Pasua kichwa kweli lkn tumeshindwa kuachana, sometimes hatuongei hata mwaka lkn somehow badae tatizo linatokea namsaidia kutatua tunarudiana tena, then tutaachana tena
Si bora ungemwambia mungu akuumbe tu mwanamke kuliko kutuaibisha wanaume kwa matendo yako
 
Kuweza kuzishinda tamaa na hisia, ukafikiri kwa kichwa ni kipimo cha utu uzima.
 
Una roho nzuri sana mkuu nmekumbuka jinsi ulivyomtreat binti yangu vizuri.

Anyway ushauri wangu mkuu fwata moyo wako usiangalie matusi na kejeli za watu, mapenzi yana nguvu sana na huwezi kuuforce moyo ufanye unavyotaka wewe. So kama umeweza kuishi nae miaka 6 maana yake unaweza kumvumilia, as long as ndio sehemu unayopenda na inakupa furaha "fight for it".
Cha msingi endelea kumrekebisha polepole mambo usiyoyapenda with time ataona ni ujinga anaofanya ataacha tuu. Tayari mna bond ya mtoto sikiliza moyo wako for the sake of mtoto na unapopenda moyo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh imagine unaomba ushauri kwa mwanamke!

"huwezi kuuforce moyo"

"ukitaka kulia wewe lia "

"be yourself ishi unavyojisikia" [emoji38][emoji38]
 
Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani.

Binafsi breakup nilishashindwa kuizoea, huwa inaleta maumivu haijalishi ni breakup ya ngapi.

Nisiwachoshe sana acha niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.

Mimi nina mke na watoto wawili na mke wangu lakini pia kuna mzazi mwenzangu ambaye nilishashindwa kumuacha kabisa licha ya matukio anayonipiga kila baada ya muda. Huyu mzazi mwenzangu ndio ninayemleta hapa kwenu. Nimekuwa naye yapata miaka 6 sasa na mtoto wetu ana miaka 4.

Acha tu niwe muwazi ili kama ni kupata msaada niweze kupata maana najua humu JF kuna watu wenye busara ambao wanaweza kutoa ushauri wa kujenga. Kiukweli huyu mzazi mwenzangu nampenda sana yaani mno hata yeye analijua hilo japo huwa haishi kujikasirisha na kujisemesha kuwa simpendi bali namtumia tu.

Ukweli uliopo ndani ya moyo wangu nampenda sana kiasi kwamba huwa nashawishika nimuoe mke wa pili japo dini yetu hairuhusu. Lakini huwa nashawishika kujilipua tu nimuoe hivyohivyo kwa namna yoyote itakayowezekana.

Sasa huyu mzazi mwenzangu hatujawahi kuwa na stable relationship kwa muda mrefu. Furaha yetu imedumu sana labda mwezi mmoja lakini throughout ya mahusiano yetu ni migogoro tu, hakuna amani kabisa.

Tunaweza kukaa kwa amani na kufurahia mahusiano lakini the next thing utakuta unaibuka mtafaruku japo mtafaruku nao huwa haudumu. Mnaweza kuzinguana asubuhi lakini kufikia mchana mmeyamaliza na kuanza kucheka tena.

Au mnaweza kuzinguana leo ikadumu hadi wiki, anaomba msamaha namsamehe yanaisha. Hii ndio imekuwa routine yetu ya mahusiano kwa muda wote huu wa miaka 6. Kuna kipindi tulikuwa tunachuniana hadi miezi 3 lakini baadae tena tunatafutana, tunarudiana na penzi linaanza upya.

Lakini tangia July 2021 hadi hivi jana (Jumamosi) tulikuwa hatujagombana hadi ile kuachana kama ilivyokuwa inafanyika miaka ya nyuma ambapo tulikuwa tunagombana na kuchuniana hadi miezi 3, 2,1 and weeks. Ingawa hii mikwaruzano ya mara kwa mara na kuchuniana kwa wiki au siku kadhaa bado ipo kama nilivyoeleza hapo juu.

Sasa kilichotokea jana nahisi tunaenda kubreakup forever au kwa muda mrefu tena kabla hatujarudiana. Kama nilivyosema hapo awali, huyu mwanamke nampenda sana, hii break up inanitafuna ndani kwa ndani, sipati usingizi, japo dakika hii ninapoandika hapa maumivu yamepungua ukilinganisha na jana au usiku wa kuamkia leo.

Natamani kuachana naye moja kwa moja lakini nahisi siwezi, labda yeye aamue kuniacha moja kwa moja. Ila mimi nahisi siku akinipigia tu simu nitatepeta.

Ugomvi wetu huwa unasababishwa na tabia zake. Kwa kweli mimi kama mwanaume kuna tabia huwa sizipendi kuziona kwa mwanamke ninayempenda. Huyu mwanamke anapenda sana mpira, ni mshabiki wa simba. Yaani ni kama mwendawazimu linapokuja swala la mpira.

Kuna muda nilihack account yake ya instagram nilikuta ana wa-dm wachezaji kama vile anajitongozesha. Nilikuta miconversation kama vile anajitongozesha kwa wachezaji, yaani yeye ndio ana-initiate conversation. Mimeseji kibao, wachezaji tofautitofauti, anagawa namba bila hata kuombwa.

Wachezaji wa Simba, Mtibwa, Namungo yaani kama wote. Ukimwuliza kwa nini anafanya hivi yeye anachukulia poa tu. Anakuambia yeye anachat nao tu wala hawatongozi, anasema maisha ya mtandaoni ni fake hivyo hizo chattings hazina maana yoyote ile bali ni fake life ya maisha ya mitandaoni.

Nilimwambia sipendi hiyo tabia inanikwaza yeye akawa anasisitiza hayo ni mambo ya mtandaoni hayana maana yoyote, anadai yeye ni mtu mzima anajielewa hivyo niache wivu wa kipumbavu, dah! Kwa hiyo hii ilikuwa moja ya sababu ya makwaruzano yetu maana niliendelea kuwa na access ya account yake zaidi ya miezi mitano kama sio sita ila baadae akaja kunilog out nikawa siwezi tena kuona kinachoendelea huko.

Kitu kingine ambacho sipendi ni kuikuta simu yake iko busy mara kwa mara. Ni mara chache sana siku inaweza kupita ukampigia usikute simu inatumika. Mie huwa namwuliza mbona wewe simu yako haiwezi ikapita siku nisiikute ikiwa busy?

Hii tabia hadi leo hii haijabadirika, na hii ni moja ya sababu za ugomvi wetu. Ila wakuu nisiwafiche nafsi huwa inaniambia nimezaa na malaya, ila naomba mniambie kama fikira zangu labda sio za kweli. Halafu mwanamke mwezi huu ndio katimiza miaka 25, nilianza naye mahusiano akiwa na miaka 19.

Miezi michache iliyopita nilibahatika kupata ajira serikalini na nikapelekwa mkoa ambao sio mbali na Dar. Huwa mara moja kwa mwezi siku za weekend naenda Dar kuiona familia na kuonana na mzazi mwenzangu. Na yeye mzazi mwenzangu huwa anakuja mara moja kwa mwezi huku nilipo, hivyo huwa tunaonana mara mbili kwa mwezi (Yeye anakuja mara moja na mimi naenda mara moja).

Nilipopangiwa huku yeye ndio alifanya manunuzi ya vitu vya ndani. Nilimtumia hela akaenda Kariakoo akaninunulia vitu vya ndani kama friji, vyombo n.k na kuzisafirisha kwa kutumia transpoter.

Hii point haina maana yoyote ila ninachotaka kukiwasilisha kwenu ni kwamba yeye ndio mnunuzi wa vitu vya ndani japo mie ndio mtoa hela hivyo inatufanya tujihisi huku ndio kwake. Yeye ndio huwa anakuja huku, mke wangu hajawahi kuja huku.

Na hii yote nilitaka kumjenga kisaikolojia kwamba huku ni kwake. Infact nilishamwambia huku ni kwako, Dar ni kwa mwenzio maana huwa nashawishika kumuoa kama nilivyotangulia kusema hapo awali.

Tatizo kubwa lililopelekea tubreak up this time around ni hili swala la yeye kuja huku. Huwa akija huku anafika jioni, analala na kesho yake mchana anarudi Dar. Basically huwa hakai hata siku. Anakuwepo usiku mmoja tu na hiyo asubuhi hadi mchana.

Wiki mbili zilizopita nilikuwepo Dar hivyo Jumapili ya leo ilikuwa zamu yake kuja. Toka nirudi kutoka Dar hadi jana tulikuwa hatuna mawasiliano mzuri na mimi nilikuwa nahisi kwa hali hii anaweza asije. Mimi nilimwambia nimechoka kukubembeleza na kuwa mtumwa wa mahusiano, usipokuja tunaachana.

Yeye akawa anasisitiza atakuja japo dalili zilikuwa zinaonyesha hawezi kuja. Na wiki zote hizi mbili tulikuwa na mtafaruku mkubwa sana ambao tulikuwa tunatoleana kauli za kuachana na kubaki kuwa kama wazazi tu.

Kweli kama nilivyotegemea leo hakuja kama tulivyopanga, anadai amechoka kuwa mtumwa wa mapenzi. Na mimi nimemwambia basi tuachane tu maana hata mimi nimechoka. Haya yote yametokea jana Jumamosi.

Sasa wakuu kama nilivyowaambia hapo awali, nateketea ndani kwa ndani japo kwa sasa najihisi maumivu yamepungua ukilinganisha na jana ila kila nikimkumbuka moyo unakuwa kama unataka kuchomoka.

Natamani haya mahusiano yaishe maana ni mateso sana kuwa kwenye mahusiano na mwanamke usiyemuamini ila natamani arudi tu tuendelee kuwa pamoja tulee mtoto wetu licha ya haya mateso anayonipitisha.

Pamoja na ushauri wenu nataka kujua, kwa mtazamo wenu huyu mwanamke ananipenda kweli, au miaka yote sita naforce mapenzi. Mara nyingi tu akinizingua sana huwa namblock hata wiki lakini atapiga simu na kuomba msamaha, atatumia maneno yote mazuri ya kubembeleza ili nimsamehe.

Na mie huwa namblock tu ili kumwonyesha kuwa naweza kuishi bila yeye ila huwa sina dhamira ya dhati ya kumuacha. Kwa hiyo akinibembeleza siku 3 mfululizo kwa msg na simu namua-unblock na maisha yanaendelea.

Kuna watu wataanza kuuliza kama mtu umemblock atawezaje kukupigia na kukutumia msg? Jibu ni kwamba kuna sehemu unaenda na kukuta msg za namba uliyoiblock, Samsung namba uliyoiblock ikipiga huwa inaonyesha pale kwenye call register.
Kiufupi ingawa tumekhsikiliza wewe na hatuna uhakika wa usahihi wa hii convo yako. Nakushauri kama unaona anakupa kichomi, achana naye kwa amani kuepuka kuuana

Wachezaji kibao anao. Watamchezesha namba yoyote ile.

Lea wanao
 
Si una mke wa ndoa why uumie kwa mchepuko huyo mke ulichaguliwa nini huu ndio mda wa kumtuliza wife wa kuzidisha upendo hujasikia kuwa baby ni baby ya baby wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenz yatamuuua[emoji1787][emoji1787]
Umenichekesha kwel
 
Duh aisee "usipende kujipa umuhimu usiokuwa nao katika maisha yangu". Mimi msomaji tuu nimeumia na hayo maneno sipati picha mhusika amefeel vipi nimemuonea huruma sana.

Wanawake jamani unapokuwa mchepuko unadharaulika sana ni bora kuwa single tuu[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni noma 🙌
 
Duh imagine unaomba ushauri kwa mwanamke!

"huwezi kuuforce moyo"

"ukitaka kulia wewe lia "

"be yourself ishi unavyojisikia" [emoji38][emoji38]
Sasa mkuu utamshauri nini?? Hujawahi sikia msemo kwamba huwezi mshauri mtu aliyependa akakuelewa?? Ameshasema anampenda kufa unadhani kuna ushauri wa move on atakaouelewa??

yaani una mke kisha hawara/malaya mwenye wanaume wengi anakupelekesha? Unashindwa kujua kuwa kwa tabia hiyo ni wazi you are insignificant to her? anakutumia tu pale wa nje asipokuwepo katika himaya yake?
 
Anakupenda, ila weee ndo unafanya mambo kua magumu.

Huyo keshajua unamke, hivo yupo nawewe kama Mzazi mwenzako.

Wewe naye badala ya kumchukulia kama Mzazi mwenzako, wee unanichukulia kama Mke.

Inaonekana siku akikuambia ,naolewa, UTAKUFA EEHH.

Relax, mchukulie kama Mzazi mwenzio, energy yako ,wekeza Kwa mkeo, huyu Mzazi mwenzio muishi kama Mzazi mwenzio tu .
Kwa comment hii tumefunga mjadala huu
 
Shida kubwa ambayo ni mbaya niliyoiona kwako ni EFFEMINATE CHARACTER, na hii itakutesa sana mkuu. Kwa lugha nyingine tunasema wewe ni SIMP.

Kwenye mahusiano yoyote yale unapoonyesha kuwa unampenda sana mwanamke na kwamba eti "hauwezi kuishi bila yeye" basi anguko lako linatabirika kabisa hata kama huko nyuma mlipendana kiasi gani.

Sikia wewe ni mwanaume huwezi kukaa ukasumbuliwa na kipampa ambaye ushamzalisha kabisa, focus na mambo yako mengine ya kimaisha ukiruhusu stress zikutawale utashindwa kutafuta hela na hata siku moja huyo mwanamke wako hatakuja kujutia kuachana na wewe kutokana na hiyo hali mbaya ya maisha uliyonayo.

Ondoa huo mtazamano wa ONEITS linapokuja swala la wamawake, wapo wengi mno wazuri na wenye tabia nzuri tu sema ndo hivyo umeshakosea tayari.
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

NB; Kosa kubwa ulilowahi kufanya ni kuingia haraka kwenye mahusiano mengine baada ya wewe kuachana na mzazi mwenzako, matokeo yake ukachukua mwanamke mwingine usiyempenda, ungetulia ukaachana na mapenzi kabisa naamini ungekuja kupata mwanamke unayempenda kiasi cha kumsahau huyo mjinga.
IMG_20221217_184637.jpg
 
Back
Top Bottom