Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Anawatumia mesej WACHEZAJI wa SIMBA.. Niseme tu kuwa MWANAMKE wako analiwa.. Na anapenda Show za kibabe yaan
 
Hakupendi ,akipata mtu wa kueleweka atakuacha tu
Swali dogo. Ina maana miaka yote hiyo hajapata mtu wa kueleweka? Kama miaka yote hajaweza kupata mtu wa kueleweka kipi kitabadirika ili apate?
 
Sio wachezaji wa simba tu. Ana shobo na wachezaji wote, yaani ni kama vile anawazimu.
Unalijua hilo na bado una mng'ang'ania

Kuna mawili mkubali kama alivyo na tabia zake mvumilie kwa kila upuuzi atakao kuletea yani kuwa boya au mahusiano yafe mlee mtoto na kwa kuwa bado mnaunganishwa na mtoto means lazima mtaendelea kuwasiliana na vile umekiri kuwa una mpenda mno sijui kama utatoboa kuachana nae so kubali kuwa huo ni mzigo wako na utaubeba mpaka mwisho wa safari



Vipi kwani huwa anajua kuifinyia kwa ndani mpaka umekua zombie wake licha ya upuuzi wake???
 
Kifupi tu huyo mwanamke sio size yako,na amekusoma akafahamu udhaifu wako kua huwezi mwacha,kifupi atakutesa sana,kama umeamua kua na mchepuko lazima uwe nae ambae hawezi kukupa msongo wa mawazo,mchepuko anayekupa msongo wa mawazo huyo hafai....kifupi tulia kwa mkeo au tafuta mchepuko ambae hata sumbua...huyo anaye watafuta wachezaji wa Simba,Namungo n.k, kifupi ni muhuni na hata wewe unajua lkn unajipa faraja.
Ni hayo tu.
 
huu ni ushauri kwa wana Jf wote. mwanamke ambaye anapenda mpira mpka kupenda wachezaji kama hivii always huwa anakuwa gawisha gawisha hafai kwa matumizi ya nyumbani kabsa...
 
Ndio mimi mkuu. Basi mwanamke mwenzio hajaja. Naomba ushauri.
Una roho nzuri sana mkuu nmekumbuka jinsi ulivyomtreat binti yangu vizuri.

Anyway ushauri wangu mkuu fwata moyo wako usiangalie matusi na kejeli za watu, mapenzi yana nguvu sana na huwezi kuuforce moyo ufanye unavyotaka wewe. So kama umeweza kuishi nae miaka 6 maana yake unaweza kumvumilia, as long as ndio sehemu unayopenda na inakupa furaha "fight for it".
Cha msingi endelea kumrekebisha polepole mambo usiyoyapenda with time ataona ni ujinga anaofanya ataacha tuu. Tayari mna bond ya mtoto sikiliza moyo wako for the sake of mtoto na unapopenda moyo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kakulisha limbwata. Japo umezaa nae, fanya mpango uchukue mtoto wako.

HAKUNA KITU KINACHOITWA KUMPENDA MTU HADI USHINDWE KUMWACHA AKIKUTESA.

Achana nae. Huyo ni MALAYA !! Hata kama huu ukweli utakuumiza, ukubali tu !!

Ushahidi kwamba kakukamata kwa limbwata ni kule kugombana, kuachana halafu kurudiana. Mnaporidiana, anakuwa ame-renew. Muda ukipita, limbwata inachuja mnaanza tena kugombana
 
Sio Kila mahusiano lazima yawe ndoa na sio Kila unaempenda utaoa au kuolewa nae ila wew yanayokutesa mazoea na sio mapenzi yataisha tu
 
At least wewe umenipa neno la faraja. Asante sana.
 
At least wewe umenipa neno la faraja. Asante sana.
Dah nakuonea huruma sana.
Maana nakuona kabisa uko njia panda
Mi nakushauri kitu kimoja kidogo ila kikubwa.
Mungu huwa ana njia zote za kutokea katika kila changamoto.
Mshirikishe Mungu...usione aibu kwa Mungu.
Unaweza kujikuta unaamka asubuhi hutaki hata kunuona huyo dada.
mrudie Mungu maana hii si hali ya kawaida
 
Miaka 6 mbona kidogo

Mimi nina pasua kichwa wangu mwaka wa 20 huu ni stop-start-stop-start.

Pasua kichwa kweli lkn tumeshindwa kuachana, sometimes hatuongei hata mwaka lkn somehow badae tatizo linatokea namsaidia kutatua tunarudiana tena, then tutaachana tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…