KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
Hello habarini jamani, nimesoma comments za watu wengi hapa juu ya tatizo la watoto kuunguruma tumbo na kunyonga, mimi mwenyewe mwanangu hajafunga...
Jamani nisaidieni kwa anayekujua dawa ya tumbo, mtoto wangu baada tu ya kutimiza wiki mbili toka kuzaliwa kwake gafla alianza kuumwa tumbo la ajabu yaani akimyonya...
Mi pia mwanangu analia sana ukimnyonyesha tumbo linaunguruma kama mkubwa nikambiwa ni tatizo kwenye kitovu ila hajafungwa iyo shilingi.
Mpeleke hospitali.ACHA KUCHEZEA AFYA YA MTOTO NA MADAWA AMBAYO HAYAJAIDHINISHWA KWA UMRI WA MTOTOJamani nisaidieni kwa anayekujua dawa ya tumbo, mtoto wangu baada tu ya kutimiza wiki mbili toka kuzaliwa kwake gafla alianza kuumwa tumbo la ajabu yaani ...
Nimepata faida, Mwanangu ana same case, lakini pia na mafua yanamsubua, zaidi ni nyakati za usiku,pole sana my dear.ni can feel the way you feel.usimlambishe mtoto vitu vingi sana kwa wakti huu mamy bado mdogo sana otherwise labda dawa uliyoshauriwa na daktari...