KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
Hello habarini jamani, nimesoma comments za watu wengi hapa juu ya tatizo la watoto kuunguruma tumbo na kunyonga, mimi mwenyewe mwanangu hajafunga miezi miwili lakini anateseka sana!
Yaani tumbo linaunguruma na kunyonga anajinyoosha mpaka huruma! Usiku hatulali tunapokezana kumbembeleza.
Lakini nimeona kuna dawa imetajwa humu unaitwa Bonnisan inazalishwa Himalaya NAOMBA KUJUA NAIPATAJE HUKU KWETU msaada tafadhari. Niko Iringa
Sent using Jamii Forums mobile app