google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
pole kwa mgonjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kumbe na amepima kabisa. Alipewa dawa gani ? Maana shida ni vidonda vya tumbo, ishu ipo kwenye dawa, sidhani kama alimaliza dozi au anatumia dawa sahihi.Alipima akakutwa na H pylori na kuhusu Ant acid anatumia na akinywa maumivu upungua
Wasalaamu ndugu. Poleni na mihangaiko ya kila mara. Binafsi siumwi, ila rafiki yangu anaumwa sana kama nitakavyoelezea hapa chini.
NOTE; Pamoja na kuumwa kwake huku kama hajakwambia huwezi jua kama anaumwa, sababu anatembea ni mzima kama wewe msomaji ulivyo hapo ukimuangalia kwa macho. Ila nimeshirikiana Naye kwenda kwa Madaktari, Hospitali mbalimbali kufanya vipimo vingi matokea yanatoka tofauti, na kama ikionekana labda anasumbuliwa na ugonjwa uliogundulika akipewa dozi bado hali inabaki kuwa ileile.
*MATATIZO YANAYOMSUMBUA* *( DALILI )*
Mwili kuchoka, kuuma (ususani upande wa kifua & mgongo ). Maumivu makali katikati ya tumbo na kifua na wakati mwingine baadhi ya sehemu za mwili upata ganzi mfano akikaa miguu ufa ganzi, mdomo kuchacha na kusikia vichomi,.
Tunaomba msaada wenu. Mungu awabariki
Ok. Nimegoogle nikaona hichi kichupa na bei yakeView attachment 1157678
Mimi pia nasumbuliwa na hizo dalili ikiwemo kupepesuka nikitembea..Niko tofauti kidogo, Jamaa yako alikuwa mtu wa mazoezi sana? Naomba jibu.