Msaada wenye viona mbali: binti aliyesoma PCM, div 3

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
 
Ndugu jabali kwanza inategemea huyo mdogo wangu ana points ngapi. Kama ana division III ya points 13 anaweza pata chuo endapo tu amepata D mbili zisizo za subsidiary.

D ziwe kati ya hiyo PCM ila GS akiwa na E au S hakuna shida. Kama ana points 14 hapo hakuna namna. Speaking from experience ya mwaka niliosoma nao, walionitangulia na walionifuata. Form six nimetoka mwaka juzi
 
Sasa mkuu D za subsidiary ni D zipi mkuu hapo umeniacha
 
Ndugu jabali kwanza inategemea huyo mdogo wangu ana points ngapi. Kama ana division III ya points 13 anaweza pata chuo endapo tu amepata D mbili zisizo za subsidiary.

D ziwe kati ya hiyo PCM ila GS akiwa na E au S hakuna shida. Kama ana points 14 hapo hakuna namna. Speaking from experience ya mwaka niliosoma nao, walionitangulia na walionifuata. Form six nimetoka mwaka juzi
Kasome guideline ya TCU, vyuo karibuni vyote vinachukuwa mwisho point zinazopatikana kutokana na masomo mawaili,
tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
Mwulize yeye anatamani kusoma kitu gani, wakati anasoma PCM nini ilikuwa ndoto yake, pia pitia kusoma TCU guideline vyuo vingi mwisho wa point za kusajiliwa chuoni ni point 4 Kwa maana D2
 
Kasome guideline ya TCU, vyuo karibuni vyote vinachukuwa mwisho point zinazopatikana kutokana na masomo mawaili...
Vyuo karibia vyote ni vipi. Hizo guidelines zipo ila kutokana na ushindani leo hii kwa matokeo haya ukiomba nafasi UDSM au DIT miaka kumi mfurulizo na guidelines hizihizi huchaguliwi. Kuna competition kubwa.

Anaweza kuwa na III ya 13 ila akawa hana principal pass ya masomo mawili. Principal pass inaanza na D sasa kama mfano (a) amepata CEE sawa na points 13 au (b) amepata DDE sawa na points 13, hapo anayechukuliwa haraka ni huyo (b)

Hapo hachaguliwi engineering yoyote UDSM au DIT, maybe NIT anaweza chaguliwa Automobile Engineering. MUST na ATC pa kufanyia application. Kwa vile kasoma sayansi kozi nyingi za Arts ukiondoa Law anasoma
 
Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?

Nashauri aombe fani za uhasibu usiogope na asiogope ukijua hesabu hii dunia nyepesi sana huku kwenye account na finance mtelezo tu kukomaa kawaida sana. TIA,CBE, IFM maliza kazi
 
Hv wadau nina rafika yangu Ana DDF kwny PCB Vp Hapo anaweza pata hizi kozi za biashara mfano accountancy.?
 
Vyuo karibia vyote ni vipi. Hizo guidelines zipo ila kutokana na ushindani leo hii kwa matokeo haya ukiomba nafasi UDSM au DIT miaka kumi mfurulizo na guidelines hizihizi huchaguliwi. Kuna competition kubwa.

Anaweza kuwa na III ya 13 ila akawa hana principal pass ya masomo mawili. Principal pass inaanza na D sasa kama mfano (a) amepata CEE sawa na points 13 au (b) amepata DDE sawa na points 13, hapo anayechukuliwa haraka ni huyo (b)

Hapo hachaguliwi engineering yoyote UDSM au DIT, maybe NIT anaweza chaguliwa Automobile Engineering. MUST na ATC pa kufanyia application. Kwa vile kasoma sayansi kozi nyingi za Arts ukiondoa Law anasoma
Yote hayo nayajua swali langu ni pale iliposema D mbili zisizo za subsidiary, kubali ulichokiandika ulikosea, huwezi kusema D zisizo za subsidiary or rather ungesema D2 zisizo za subsidiary kifupi hakuna D ya subsidiary au iwe ni utaratibu mpya. Karibu.
 
Vyote vilivyoko Tanzania ukitoa vyuo vya afya na mzumbe, ambao wanahitaji candidate awe na point 6
 
Hv wadau nina rafika yangu Ana DDF kwny PCB Vp Hapo anaweza pata hizi kozi za biashara mfano accountancy.?
Bila Shida yoyote, naamini hapo kuna BAM ameisoma pia, cut off point Kwa vyuo karibu vyote ni point nne ambazo ni DD
 
Yote hayo nayajua swali langu ni pale iliposema D mbili zisizo za subsidiary, kubali ulichokiandika ulikosea, huwezi kusema D zisizo za subsidiary or rather ungesema D2 zisizo za subsidiary kifupi hakuna D ya subsidiary au iwe ni utaratibu mpya. Karibu.
Unachonipinga hapa ni nini, unasema kwamba
"....huwezi kusema D zisizo za subsidiary or rather ungesema D2 zisizo za subsidiary kifupi hakuna D ya subsidiary..."

Hapo wewe mwenyewe umejielewa?
 
hapa mnatofautiana kidogo tu mimi nilivyoelewa D isiyoya subsidiary ni kwamba hpo mwanafunzi anasoma kwa mfano PCB anasoma masomo matato hapo unaongeza masomo mawili ambayo nai subsidiary BAM NA GS hayo mawili ndiyo mkuu anazumngumzia usiwe na D ya subsidiary ina maana D zako zilenge kule kwenye PCB basi
 
Hakuna D ya subsidiary, period. D inabaki kuwa D na Subsidiary inabaki kuwa Subsidiary. Tofauti na hapo nithibitishie hii D subsidiary imeanza kutolewa mwaka upi wa matokeo
 
hapa mnatofautiana kidogo tu mimi nilivyoelewa D isiyoya subsidiary ni kwamba hpo mwanafunzi anasoma kwa mfano PCB anasoma masomo matato hapo unaongeza masomo mawili ambayo nai subsidiary BAM NA GS hayo mawili ndiyo mkuu anazumngumzia usiwe na D ya subsidiary ina maana D zako zilenge kule kwenye PCB basi
Ndicho ninachomwambia huyu FURY sasa sijui haelewi nini. Ninamdokeza mleta mada kabisa kwa sababu najua wanaopata marks za kusuasua wengi huwa wanataja nina D mbili ili angalau mzazi asione amefeli sana. Kumbe unakuta hiyo D anaisema ya GS, matokeo mzazi anahangaika kusipostahili bila kujua D ya GS haimpi admission chuo
 
Back
Top Bottom