Vyuo karibia vyote ni vipi. Hizo guidelines zipo ila kutokana na ushindani leo hii kwa matokeo haya ukiomba nafasi UDSM au DIT miaka kumi mfurulizo na guidelines hizihizi huchaguliwi. Kuna competition kubwa.
Anaweza kuwa na III ya 13 ila akawa hana principal pass ya masomo mawili. Principal pass inaanza na D sasa kama mfano (a) amepata CEE sawa na points 13 au (b) amepata DDE sawa na points 13, hapo anayechukuliwa haraka ni huyo (b)
Hapo hachaguliwi engineering yoyote UDSM au DIT, maybe NIT anaweza chaguliwa Automobile Engineering. MUST na ATC pa kufanyia application. Kwa vile kasoma sayansi kozi nyingi za Arts ukiondoa Law anasoma