Msaada wenye viona mbali: binti aliyesoma PCM, div 3

Hakuna D ya subsidiary, period. D inabaki kuwa D na Subsidiary inabaki kuwa Subsidiary. Tofauti na hapo nithibitishie hii D subsidiary imeanza kutolewa mwaka upi wa matokeo
F-Fail with 0 point, S-Subsidiary With 0.5 points, E-Principle pass with 1.0 points, D-Principle pass with 2.0 points, C-Principle pass with 3.0 points,B-Principle pass with 4.0 points,A-Principle pass with 5.0 points.
 
Nipo chuo cha CBE Mwanza Campus nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri
 
Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
Kupata ushauri mzuri ni afadhali uweke matokeo yake kamili. Pili pitia admission guide ya tcu. Tatu ikibidi aangalie pia admission guide ya NACTE ili kamauwezekano wa kupata degree course aipendayo basi afikirie a two year diploma course. All the best.
 
Namba 535, pia anahitaji msaada, Alipenda kusoma Uandisi, nimepitia leo naona hana vigezo, naomba kujua njia mbadala ili nimpelekee majibu yasiyo na mashaka.

Sababu ananisumbua nimuombee mtoto wake mkopo, ilihali vigezo vya kwenda chuo cha level ya Shahada, hesabu hazipo sawa.
 
Na Mimi naomba ushauri Nina mdogo Wang PCB ana division 3.13 anaweza soma course zipi
 
GS- D, PHYSICS- E, CHEMISTRY- E, ADV MATH- D, point- 13, DIV III.
 
GS- D, PHYSICS- E, CHEMISTRY- E, ADV MATH- D, point- 13, DIV III.
Kwenye masomo 2 ana D na E ambayo kwa point za TCU ana jumla ya point 3 na siyo 4 zinazotakiwa. Hivyo nashauri aangalie course za diploma chini ya NACTE. Ukiingia nacte.go.tz utapata admission guide yao. All the best mkuu.
 
Mkuu pfincipal pass inaanzia E.
 
Hakuna D ya subsidiary, period. D inabaki kuwa D na Subsidiary inabaki kuwa Subsidiary. Tofauti na hapo nithibitishie hii D subsidiary imeanza kutolewa mwaka upi wa matokeo
Mkuu angalia matokeo ya subsidiary courses general studies na BAM utaona kuna wenye a hadi e achilia mbali f.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…